Bodi ya Mikopo na pesa za wanafunzi wanaosoma njee ya Tanzania

cheer

Member
Jul 20, 2012
35
4
Imefika wakati bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu ibadilike,kwa muda sasa sisi wanafunzi tuliochina tunasubiri mikopo yetu lakini hatujapewa taarifa yoyote ya kuaminika toka wahusika.

Jambo la kuzingatiwa ni kuwa wanafunzi wengine tumeshaanza kukatwa mikopo yetu ya undergraduate na hivyo haina maana kutucheleweshea fedha zetu kana kwamba ni msaada na siyo mkopo.
 
Pole sana mkuu, uvumilivu ndo mpango mzima kwani hata vyuo vya ndani ya nchi wapo wanafunzi hawajalipwa tangu mwezi wa kumi.Hii bodi inabidi ichunguzwe na TAKUKURU
 
Back
Top Bottom