Bodi ya mikopo, mtalipa lini hili deni-754,524,000? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo, mtalipa lini hili deni-754,524,000?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by gwankaja, Nov 29, 2011.

 1. gwankaja

  gwankaja JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 1,951
  Likes Received: 1,587
  Trophy Points: 280
  Idadi kubwa ya wanafunzi wa UDSM hawajalipiwa ada katika vipindi tofauti vya masomo. Na wengi wameshindwa kufanya clearence kutokana na madeni hayo. Bodi wamepelekea invoice toka 3-10-2011, lakini cha ajabu deni halijalipwa na wanafunzi wanalazimika kufatilia wenyewe. Mytake: Bodi fanyeni uungwana mlipe hilo deni ikiwa yalikuwa ni makosa ya kibinadamu, mbali na hivyo mtasababisha matatizo yasiyo ya lazima.
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  This cantri bana, hakika ubabaishaji hauwez kuisha.
   
 3. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mmmm kweli mtasoma vijana wa Tz..Ninamashaka sana..
   
 4. M

  Mzee Kijana JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 748
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 80
  Kama haya yana ukweli basi kazi tunayo! Hivi watasoma wanetu kweli kwa mambo haya? Oh! Mungu tunusuru WATZ.
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kazi ipo
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Bodi wanajihami sana pale, unaweza ukaishia kuonana na walinzi tu pale
   
 7. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  mi napita hayo tu ila nitarudi
   
Loading...