Bodi ya Mikopo mnalalamikiwa kwa haya

UVIKO

JF-Expert Member
Jun 14, 2021
294
362
Wakuu poleni na MAJUKUMU YA hapa na pale ,

Moja Kwa Moja niende kwenye mada,Story yenyewe IPO hivi Mimi ni mjasiliamari Mambo 5 ninayokutana nayo kitaa ni kama haya

1. Bodi ya mikopo upande wa afya hamjawapa mikopo mfano mhimbili
2. Mnatoa mikopo Kwa ubaguzi mfano watu wanachukua fact Moja lakini mwingine analipiwa ADA 100% mwingine asilimia 20.

Mengineyo mengi kama kuna ukweli wa haya myashughulikie
 
Back
Top Bottom