Bodi ya Mikopo kuwafikisha Mahakamani wadaiwa sugu 142,470 kama wakishindwa kulipa ndani ya siku 30

Msikilize mkurugenz mtendaji wa bodi ya mikopo bwana abdul razaq kuHsu wadauwa sugu wa elimu ya juu
Subscrib kupta habri kedekede
Share an like pia
 
Mimi nilishasema nipo tayari kufungwa,siwezi lipa.Wakamdai na Mzee sitta marehemu.
Sasa Mzee Sitta anahusikaje hapa?!?!? Je unajua utaratibu wa kulipia ulivyokuwa zamani?!?! Sasa wewe axcha kulipa na ukiburuzwa mahakamani usije kulia lia hapa JF. Jambo la muhimu ni kuhamasisha tu waiosoma zamani waweze kuchangia mbona wengi tu wako/tuko tayari !
 
Oya kuwa serious kidogo mkuu, mimi nimemaliza hapo 2013 tu deni now limegonga 18milion na nilisoma miaka mitatu kwa ada ya engineering, sasa hao wadaiwa wa 90s unategemea itakua bei gan kwa sasa

Watupe ajira waone kama hatulipi...
 
Nadhani tuwe serious wote maana mshangao wangu ni wa Mh Sitta ( RIP) anaingiaje hapa?!?!
18 Million kweli ni nyingi sana. Na inashtua ukisema engineering halafu kazi hamna. Ni changamoto kubwa kuliko inavyoonekana. All the best lakini wa kusaidia hii changamoto tupo, kinachotakiwa Uhamasishaji!
 
So sory mkuu, sikumuhusisha Samweli Sita (r.i.p)

MY POINT: Hali ya ajira ni ngumu sana, serikali inazalisha wataalamu wasiotumika,
Kwa mfano ajira zilizofutwa na waziri Kairuki zina wanufaika wangapi wa bodi ya mikopo....
 
Sasa Mzee Sitta anahusikaje hapa?!?!? Je unajua utaratibu wa kulipia ulivyokuwa zamani?!?! Sasa wewe axcha kulipa na ukiburuzwa mahakamani usije kulia lia hapa JF. Jambo la muhimu ni kuhamasisha tu waiosoma zamani waweze kuchangia mbona wengi tu wako/tuko tayari !
Hebu nirushie hata buku kumi hapo.Nimekwambia niko tayari kufungwa sembuse kuburuzwa mahakamani? Akina Sita labda nawewe mlisoma bure tuu na mlikuwa mnapata kila kitu bado mkaja kuisaliti nchi na kuitafuna,kumbuka bunge la katiba,kila kitu mlikuwa mnapata kwa amani lakini bado hamkuwa wazalendo,kama ni kuchangia unasubiri nani aje akuombe? Kama una moyo mbona hatujakusikia umechangia chochote?Sisi kuipata hiyo peanut coins ililazimu tugome,tuandamane baada kushinda njaa,na bado hatukukwepa virungu vya polisi na mabomu ya machozi,wengi wetuu tumeambulia ulemavu hasa vidonda vya tumbo,na bado kazi hutujapata unategemea moyo wa kulipa unatoka wapi? Nyie akina Sitta mmejaa ubinafsi tuu,kwanini kulipa deni kuanzie 1994 na siyo 1966 au kabla ya hapo? Kwa kuwa sheria zote mlitunga nyinyi mkaamua kutubambikia sisi mzigo wa kuadaiwa.Kama mwalimu Nyerere angekuwa kama nyinyi sijui kama mngekuwa mmesoma.Sitta anasimama kuwawakilisha wote waliosoma bure na bado wakalisaliti taifa.
 
Nadhani tuwe serious wote maana mshangao wangu ni wa Mh Sitta ( RIP) anaingiaje hapa?!?!
18 Million kweli ni nyingi sana. Na inashtua ukisema engineering halafu kazi hamna. Ni changamoto kubwa kuliko inavyoonekana. All the best lakini wa kusaidia hii changamoto tupo, kinachotakiwa Uhamasishaji!
Sitta alisoma bure na akala kuku kwa mrija,wakati huo kusoma chuo kikuu kukiwa ni heshima kubwa,akapewa kazi nzuri na uwaziri akiwa kijana,bado hakudaiwa,akalichakachua taifa kwa katiba pendekezwa ya hovyo na kuligharimu taifa pesa lundo na amekufa akiwa hajadaiwa.
 
So sory mkuu, sikumuhusisha Samweli Sita (r.i.p)

MY POINT: Hali ya ajira ni ngumu sana, serikali inazalisha wataalamu wasiotumika,
Kwa mfano ajira zilizofutwa na waziri Kairuki zina wanufaika wangapi wa bodi ya mikopo....
Aha okay noted!
 
Hebu nirushie hata buku kumi hapo.Nimekwambia niko tayari kufungwa sembuse kuburuzwa mahakamani? Akina Sita labda nawewe mlisoma bure tuu na mlikuwa mnapata kila kitu bado mkaja kuisaliti nchi na kuitafuna,kumbuka bunge la katiba,kila kitu mlikuwa mnapata kwa amani lakini bado hamkuwa wazalendo,kama ni kuchangia unasubiri nani aje akuombe? Kama una moyo mbona hatujakusikia umechangia chochote?Sisi kuipata hiyo peanut coins ililazimu tugome,tuandamane baada kushinda njaa,na bado hatukukwepa virungu vya polisi na mabomu ya machozi,wengi wetuu tumeambulia ulemavu hasa vidonda vya tumbo,na bado kazi hutujapata unategemea moyo wa kulipa unatoka wapi? Nyie akina Sitta mmejaa ubinafsi tuu,kwanini kulipa deni kuanzie 1994 na siyo 1966 au kabla ya hapo? Kwa kuwa sheria zote mlitunga nyinyi mkaamua kutubambikia sisi mzigo wa kuadaiwa.Kama mwalimu Nyerere angekuwa kama nyinyi sijui kama mngekuwa mmesoma.Sitta anasimama kuwawakilisha wote waliosoma bure na bado wakalisaliti taifa.
Hee hebu muache Sitta apumzike kwa amani. Jamani hivi unanijua? Kwa taarifa yako Marehemu Sitta amechangia kwa utaratibu uliowekwa na serekali. Naam kwa upande wangu nilisoma bure kabisa bila kuchangia chochote na nashukuru Mungu kazi nilipata na neme/nalitumikia Taifa langu kwa moyo wote! Kuhusu suala la ubinafsi kwa kuwa hiyo ni opinion yako ambayo haitageuka kuwa fact niiache ilivyo. na ninavyosema kuchangia ni sehemu tu ya kutokuwa mbinafis kwani mimi si tajiri kwani formula ya Tajiri haiendani kabisa na ujinga naouandika hapa wa kuwa tyuliosoma zamani tuchangi. Nimekwishawasaidia wengi sana na si kwa sababu na extra as binadamu hawezi kuwa na extra hata siku moja. All in all hili suala linahitaji uchambuzi zaidi na mpango wa muda mfupi, wa kati na wa muda mrefu. Kuhusu Nuku kumi sina uhakika km. ulikuwa sereuos as mimi nadhani tuangalie strategy ya kuliondoa hili tatizo na wahusika ( wenye madeni) kwa kushirikiana na wanaharakati wa Haki sawa kwa wote wanaweza ( najitoa maana imani kwangu huna) wakaungana na kuleta mkakati wa kufanikisha hikli.
 
Sitta alisoma bure na akala kuku kwa mrija,wakati huo kusoma chuo kikuu kukiwa ni heshima kubwa,akapewa kazi nzuri na uwaziri akiwa kijana,bado hakudaiwa,akalichakachua taifa kwa katiba pendekezwa ya hovyo na kuligharimu taifa pesa lundo na amekufa akiwa hajadaiwa.
Hebu some ni historia jamani jinsi kina Mh. Sitta walivyolipia elimu ayao. jamani sasa ninyi mna mitandao mnaweza pata habari je mngekuwa kama sisis enzi zetu lazima uende Library ingekuwaje jamanai?!?!?!
 
Back
Top Bottom