Bodi ya mikopo kutelekeza asilimia kubwa ya wanafunzi walio maliza form six

Alphonce Lusako

Verified Member
Joined
Aug 31, 2011
Messages
35
Points
0

Alphonce Lusako

Verified Member
Joined Aug 31, 2011
35 0
Salaam wakuuu,

kitendo cha serikali ya jamhuri ya muungano wa TANZANIA, kupitia waziri mwenye dhamana yani mheshimiwa KAWAMBWA, Kuwatelekeza idadi kubwa ya wadogozetu kwa kutowadhamini mikopo ili waweze kumudu kujiunga vyuoni tunakichukuliaje kama wazalendo wa nchi. cha kujiuliza ni kwamba

1.Ni kweli serikali yetu haina uwezo wa kuwadhamini wanafunzi wote?

2.Wanaopata asiilimia ndogo au kutolipiwa kabisa ni watoto wa matajiri au masikini?

3.je tukubali kuwa watumwa katika nchi yetu?

4.je tuendelee kuyaacha manung'uniko ya familia zilizo masikini, watoto masikini, yatima waendelee kutopata elimu eti sababu serikali inadai kuwa hawana uwezo kitu ambacho mimi na wewe hatukiamini kabisa?

5.Mi binafsi natambua kuwa niwakati wa vyuo vyote katika jamhuri ya muungano wa TANZANIA, kuisaidia jamii kuishinikiza serikali, wadogozetu wote wapewe mkopo ili waweze kuingia vyuo, Na hili linawezekana'

6.Wadogo zetu wengi ambao asilimia kubwa wametoka katika familia zilizo masikini hawatoweza kufika vyuoni, hatuwezi kuyaacha manung'uniko ya watanzania tulio masikini yaendelee.

7.Na napenda kudiriki kuthubutu kusema kwamba sikubaliani na siasa za waziri wa elimu Mh.Kawambwa alizozitoa jana TBC. TUMECHOKA NA DANADANA ZA SIASA za viongozi wetu.

Together we can, let us stand guys,,,,, YOUR SUGGESTION PLEASE?
 

NIMIMI

Senior Member
Joined
Apr 2, 2011
Messages
170
Points
170

NIMIMI

Senior Member
Joined Apr 2, 2011
170 170
Kaka kwanza nikupongeze kwa UJASIRI &UZALENDO wako uliouonesha hasa kwa wazazi wakulima ambao kwa kiasi kikubwa ndio waathirika (maana kuna mzazi,mama mmoja amesharipotiwa kupoteza maisha baada ya kupata taarifa za mwanae kunyimwa mkopo) hivyo ukisemacho ni sahihi kwamba tuamke tusimame Imara kuhakikisha pesa zinapatikana kuwawezesha wadahiliwa kwenda vyuoni. Kama ilivyokuwa kwenye wizara ya Nishati na Madini. Nasisitiza naombeni tuungane, tusimame Imara kuhakikisha mikopo inapatikana kwa Wahitaji. Kauli za kABAMBWA ShuKRAN ni chachu kwetu kusafisha njia ya kuhakisha kuwa hakai ofisini kwake, ikiwezekana hata kuyawasha moto majengo kwa kushindwa kusimamia haki za msingi za wenye dhamana na majengo hayo ambao ni sisi.
 

N2nde

Member
Joined
Sep 2, 2011
Messages
21
Points
0

N2nde

Member
Joined Sep 2, 2011
21 0
ni kwel jaman let's unite 2gether az 1 manake wazaz wamechanganyikiwa waktegemea mtoto amefaulu zen "no loan" inamaana kuingia chuo ni ndoto na div 2 angu...... noma xana
 

Forum statistics

Threads 1,388,900
Members 527,829
Posts 34,014,073
Top