Bodi ya Mikopo itoe ufafanuzi juu ya kushusha viwango vya pesa ya kujikimu Pale St Joseph College

Ngalikivembu

Ngalikivembu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
1,923
Points
1,500
Ngalikivembu

Ngalikivembu

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
1,923 1,500
Wakuu wa jukwaa la Elimu habari,
Ningependa kuwasilisha matatizo yaliyowakumba wanafunzi wa St Joseph college tawi la Songea kwa kukatwa fedha yao ya kujikimu, jambo lililoleta mgogoro mkubwa na uongozi hadi kufikia hatua ya kugoma. Kiwango kilicholipwa kwa mwaka huu wa fedha ni kile cha zamani kabla serikali haijapandisha.
Hivi sasa bodi imetoa shilingi 367500/= tu kwa miezi miwili ya kwanza badala ya kiwango kipya cha shilingi 472000/= kilicholipwa baada ya serikali kupandisha viwango.
Uongozi wa chuo ulipoulizwa walisema suala hilo ni la bodi na si lao.Waulizwe bodi. Sasa hapa panahitajika kuapata maelezo toka kwa uongozi wa bodi kujua kwanini imeshusha kiwango hiki?Je vyuo vyote vimepata viwango hivi au ni hiki tu?Kama ni tofauti kwanini iwe hivyo kwao tu?

Nina amini kama tatizo hili lingetokea kwa UDSM basi mgomo ungetokea na maelezo yangepatikana haraka.Lakini chuo hiki cha wahindi ni kama wanajifanyia mambo wanavyotaka.

Naomba kuwasilisha ndugu zangu
 
ndupa

ndupa

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2008
Messages
4,442
Points
0
ndupa

ndupa

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2008
4,442 0
wakubwa barabara si zipo??? mabango si yapo??? mnangoja nini?? na kwa nini iwe nyie tu maana sijawahi sikia toka chuo kingine!!!!
 
Makbel

Makbel

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Messages
778
Points
195
Makbel

Makbel

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2011
778 195
Mmechakachuliwa!
Wakuu wa jukwaa la Elimu habari,
Ningependa kuwasilisha matatizo yaliyowakumba wanafunzi wa St Joseph college tawi la Songea kwa kukatwa fedha yao ya kujikimu, jambo lililoleta mgogoro mkubwa na uongozi hadi kufikia hatua ya kugoma. Kiwango kilicholipwa kwa mwaka huu wa fedha ni kile cha zamani kabla serikali haijapandisha.
Hivi sasa bodi imetoa shilingi 367500/= tu kwa miezi miwili ya kwanza badala ya kiwango kipya cha shilingi 472000/= kilicholipwa baada ya serikali kupandisha viwango.
Uongozi wa chuo ulipoulizwa walisema suala hilo ni la bodi na si lao.Waulizwe bodi. Sasa hapa panahitajika kuapata maelezo toka kwa uongozi wa bodi kujua kwanini imeshusha kiwango hiki?Je vyuo vyote vimepata viwango hivi au ni hiki tu?Kama ni tofauti kwanini iwe hivyo kwao tu?

Nina amini kama tatizo hili lingetokea kwa UDSM basi mgomo ungetokea na maelezo yangepatikana haraka.Lakini chuo hiki cha wahindi ni kama wanajifanyia mambo wanavyotaka.

Naomba kuwasilisha ndugu zangu
 
Forum statistics

Threads 1,285,560
Members 494,675
Posts 30,866,823
Top