Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,157
Tuchukue mfano, Mwalimu anayeajiliwa na shahada basic saraly yake ni Tsh. 716,000/=
Katika hiyo anakatwa HIFADHI YA JAMII (mf. PSPF, LAPF) kutegemea aliko jiunga lakini kote asilimia ya makato ni Sawa, hivyo huyu mwenye 716,000/=atakatwa Tsh. 35,800/=
Baada ya hapo atakatwa 2% chama cha wafanyakazi = Tsh. 14,320/=
Halafu atakatwa Income tax (PAYE) =Tsh. 86,580/=
kisha Bodi ya mikopo itamalizia na Tsh. 107,400/=
Kwa ujumla wake atakatwa Tsh. 265,580/=
Hapa chukua Tsh. 716,000 - Tsh. 265,580 utapata Tsh. 450,420/=
Chukua hiyo 450,420/=(kumbuka nazungumzia degree holder) lipa nauli za kila siku (labda Tsh. 1,000 ili kubana matumizi) zidisha siku 20 za working days, utapata Tsh. 20,000/=) kwa mwezi
Hivyo 450,420 - 20,000 itabaki Tsh. 430,420/=
Kisha chukua 1,000/= kwa ajili ya kupata chai asubuhi labda na maji nusu Lita x20days =20,000 itabaki 410,420/= (chakula atakula nyumbani maana anatoka mapema kazini)
Kwa hiyo baada ya kulipwa Tsh. 716,000/= Pesa halisi ambayo kwa mfanyabiashara tungeita faida ni 410,420/=
Sasa chukua hiyo 410,420/= lipa chumba (chenye angalau mwonekano wa degree holder mwajiriwa rasmi wa serikali), lipa umeme, maji, wazoa taka, vocha, saidia wadogo zako na wazazi kijijini na mambo kama hayo!!
Sisemi asikatwe, lakini busara za viongozi zinahitajika kuangalia namna ya kupunguza mzigo huu kwa mtumishi wa Umma!
Kumbuka anawaza kusomesha watoto wake pengine na wandugu zake maana huenda naye alisaidiwa kufika hapo.
Anawaza kujenga, kubadilisha mlo na mavazi kwake na familia yake lakini pia kushiriki maswala ya kijamii kama rambirambi za misiba, harusi n.k