bodi ya mikopo heslb help plz

Wakikutumia msg ya mpesa ambayo inathibitisha malipo yako kuna namba zinaanza halafu maelezo yanayothibitisha kuwa umelipa basi hizo namba za hapo mwanzo ndio password zako
 
Wakikutumia msg ya mpesa ambayo inathibitisha malipo yako kuna namba zinaanza halafu maelezo yanayothibitisha kuwa umelipa basi hizo namba za hapo mwanzo ndio password zako
Mm toka juzi najaribu kuingiza hiyo Id lakini najibiwa id does not exist, hv hii ikoje. Help ndio nataka nimregister dogo na siku ndo zinapotea
 
Mm toka juzi najaribu kuingiza hiyo Id lakini najibiwa id does not exist, hv hii ikoje. Help ndio nataka nimregister dogo na siku ndo zinapotea

SASA WW UNACHO HANGAIKA NI KITU GANI? KWANI LAZIMA KILA KITU UFANYE MWENYEWE? WAPE WATU HELA WAFANYE KAZI!! watu tunafanya kazi hiyo.............. time is not in your favour......
 
Mm toka juzi najaribu kuingiza hiyo Id lakini najibiwa id does not exist, hv hii ikoje. Help ndio nataka nimregister dogo na siku ndo zinapotea

inatokea mara nyingi - sio wewe tu. Endelea kujaribu itakubali. hakikisha tu message ya MPESA ina namba yako ya "O" leve ujipe uhakika hela imeingia kwako.

pia jaribu kufuta history ya browser yako uanze tena hatimaye itakubali. Inaelekea system ya HESLB iko clumsy katika kuzipokea hizi hela.

jambo lingine utaweza kuta NECTA haijaweka link ya matokeo yako HESLB na TCU na kujikuta unaambiwa exam index yako haijulikani na kwamba in case od TCU huna sifa za kuomba vyuo. DONT PANIC. Tatizo hawa watu hawapokei simu kutoa ufafanuzi wa mambo haya wakati muda ndo unayoyoma
 
Mimi nilisoma shule ya kata o level pia naandikiwa it does not exist. .nadhan bado hawaja feed
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom