Bodi ya mikopo: Hakuna mkopo kwa walioomba kutokana na uhaba wa bilioni 28.

TzCampusVibe

Member
Nov 1, 2011
9
0
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu imeieleza kamati ya bunge ya hesabu za serikali (POAC) kwamba imeshindwa kuwapa hela ya mikopo wanafunzi wengi walioomba kutokana na serikali kutowa pesa walizoomba na kupewa pesa kidogo kuendeshea shughuli za Bodi hiyo ambapo kwa sasa inakabiliwa na uhaba wa shilingi bilioni 28. http://www.tzcampusvibe.wordpress.com
 
Back
Top Bottom