Bodi ya mikopo elimu ya juu yazidi kufanya madudu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo elimu ya juu yazidi kufanya madudu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MANGUNGO, Mar 17, 2012.

 1. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Wakuu!bodi ya mikopo imewanyima ela ya field wanafunzi 250 wa chuo cha RUCO na kuwapa wachache.hii dalili ya nini?
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hujatoa facts za kutosha. wachache ni wangapi? kozi zao zinafanana?
   
 3. m

  mtayeshelwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 836
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Mkuu hoja yako umeicha ikihang hewani,Inabidi ukileta hoja hum uwe na evidence za kutosha ili kuwawezeshesha wana jf waweze kuchangia
   
 4. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ..waliomba mkopo?
   
 5. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Waliomba na wanadhaminiwa na bodi ya mkopo.
   
Loading...