Bodi ya mikopo acheni siasa.....??


M

Mwa chando

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Messages
359
Likes
47
Points
45
Age
26
M

Mwa chando

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2013
359 47 45
Wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wanadhaminiwa na bodi ya mikopo waendelea kutaabika mitaani hali ni mbaya wengi wao wanafanya matendo yasiyofaa kutokana na kukosa pesa za kujikimu ambazo zilitakiwa kutoka mwishoni mwa mwezi wa Tano, baadhi ya vyuo ambavyo nimepata uhakika wakutopata pesa hizo ni hivi hapa

Tanzania istitute of accountacy (TIA)

MuhimbiliBugando
Pamoja na vyuo vingine 29

Nachotaka kujiuliza hapa zikowapi zile kauliambazo walizitoa viongozi wetu wakuu waserikali eti yakuwa wameongeza pato la makusanyo kufikia mbaka Trilioni kadhaa,
Je au zilikuwa ni siasa za maneno yakwenye makaratasi tuuu.....??

Nachokiona na nachoendelea kukithibitisha nikuwa tunampamba sana mwali wakati hatuji bwana muoaji yupo katika hali gani...??

Ifike wakati tuwe honest tu kuwa kidogo tumeyumba katika collection ya mapato nakusababisha pesa kuwa hadimu kupatikana

Ukitaka kujua kuwa tumeyumba hawa watoto hadi leo hawajapata pesa zao pia hapo hapo kunabaadhi yao wanahitaji pesa za field na zinatakiwa kufika wanapomaliza mitihani yao ya semister je wanazipata kwa muda gani kama hizi za kujikimu tu zinawatoa jasho hivi...??

Ifike wakati tuache siasa uchwara kunasiku nilikuwa namsikiliza kiongozi mkubwa Wa TRA likuwa anasema eti bandarini meli zimepungua kuleta kwa mizigo kwasababu eti uchumi wa nchi bidhaa zinapotoka umepanda mmh nilishangazwa kweli kweli nikajiuliza theory za kichumi huyu amesomea wapi huyu....


Tufike wakati tuache siasa uchwara katika maswala ya muhimu kama hizo mnazodai zipo kwanini msiwape .....?

Hatukushuhudia haya wakati wa kikwete ni aibu kubwa kama hili tu ni matatizo na mengine je

Mnajengea taharuki mbele ya jamii cjui 2020 mtawaamviaje hawa wananchi.

Nahili la mkopo ni dogo bdo kunawafanyakazi wale wakiotolewa kazini wakati wamepokea mishahara kadhaaa wakiambiwa ajira zimesimamishwa

Tuache siasakatika maswala ya msingi....

Mwananchi wakawaida
 
Compact

Compact

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Messages
3,811
Likes
8,650
Points
280
Compact

Compact

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2015
3,811 8,650 280
Inasikitisha sana. Mbaya zaidi wakiulizwa wanasema fedha hawana lakini kwenye mitandao wanakana taarifa kusema kwamba ni za uongo,bodi ina fedha za kutosha. Saaa watuambie tuamini lipi?
 
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
8,136
Likes
5,182
Points
280
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
8,136 5,182 280
Acha muisome namba wazazi wenu ndio wapiga kura wa ccm.
 

Forum statistics

Threads 1,237,188
Members 475,465
Posts 29,280,761