MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Kuna Watu wanajulikana kuwa Wao kila ikikaribia Mechi yao na Mahasimu wao akitajwa tu Mwamuzi (Referee) huwa wanalalamika kuna ni Mnazi wa Wapinzani wao na kupelekea hata Kumtisha ili awe anawabeba.
Baada ya TFF na Bodi ya Ligi kuisoma vyema Saikolojia ya wana Yanga SC wengi ambayo ni Kulalamikia, Kupenda Ukubwa, Sifa na Ushamba wameamua kuja na Jambo ambalo Yanga SC wakilisikia watafurahi na kusahau Kuhoji mengine.
Kwa jinsi Mijadala ya Takwimu iliyotolewa na Bodi ya Ligi inavyoendelea huku wana Yanga SC wote wakifurahi na Kuinanga Simba SC ni dhahiri kuwa hata TFF ikimtangaza rasmi Mwamuzi (Referee) safari hi hatojadiliwa au kutiliwa sana Mashaka na wana Yanga SC.
Kwani watakuwa bado wanasheherekea Ubingwa wao wa Takwimu za Kujaza Uwanja na Kukosa Ubingwa wa VPL kwa miaka Minne na kutolewa haraka CAF CL kwa Kufungwa nje ndani na Rivers United FC kutoka nchini Nigeria.
Na Kitu pekee ninachokifurahia Mightier ni kwamba 85% ya Watu walioko TFF na hata katika Bodi ya Ligi ni wana Simba SC lia lia (Kindakindaki) na najua katika hii Mind Game dhidi ya Yanga SC nao wametumika kama sehemu ya Mkakati.
Haya tuendelee Kushangilia Takwimu!