Bodi ya Ligi na TFF kwa akili hii Kubwa mliyoitumia kuisifia Yanga SC Kitakwimu, ili Kuiandaa Kisaikolojia hakika mnastahili Tuzo

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kuna Watu wanajulikana kuwa Wao kila ikikaribia Mechi yao na Mahasimu wao akitajwa tu Mwamuzi (Referee) huwa wanalalamika kuna ni Mnazi wa Wapinzani wao na kupelekea hata Kumtisha ili awe anawabeba.

Baada ya TFF na Bodi ya Ligi kuisoma vyema Saikolojia ya wana Yanga SC wengi ambayo ni Kulalamikia, Kupenda Ukubwa, Sifa na Ushamba wameamua kuja na Jambo ambalo Yanga SC wakilisikia watafurahi na kusahau Kuhoji mengine.

Kwa jinsi Mijadala ya Takwimu iliyotolewa na Bodi ya Ligi inavyoendelea huku wana Yanga SC wote wakifurahi na Kuinanga Simba SC ni dhahiri kuwa hata TFF ikimtangaza rasmi Mwamuzi (Referee) safari hi hatojadiliwa au kutiliwa sana Mashaka na wana Yanga SC.

Kwani watakuwa bado wanasheherekea Ubingwa wao wa Takwimu za Kujaza Uwanja na Kukosa Ubingwa wa VPL kwa miaka Minne na kutolewa haraka CAF CL kwa Kufungwa nje ndani na Rivers United FC kutoka nchini Nigeria.

Na Kitu pekee ninachokifurahia Mightier ni kwamba 85% ya Watu walioko TFF na hata katika Bodi ya Ligi ni wana Simba SC lia lia (Kindakindaki) na najua katika hii Mind Game dhidi ya Yanga SC nao wametumika kama sehemu ya Mkakati.

Haya tuendelee Kushangilia Takwimu!
 
Kuna Watu wanajulikana kuwa Wao kila ikikaribia Mechi yao na Mahasimu wao akitajwa tu Mwamuzi ( Referee ) huwa wanalalamika kuna ni Mnazi wa Wapinzani wao na kupelekea hata Kumtisha ili awe anawabeba.

Baada ya TFF na Bodi ya Ligi kuisoma vyema Saikolojia ya wana Yanga SC wengi ambayo ni Kulalamikia, Kupenda Ukubwa, Sifa na Ushamba wameamua kuja na Jambo ambalo Yanga SC wakilisikia watafurahi na kusahau Kuhoji mengine.

Kwa jinsi Mijadala ya Takwimu iliyotolewa na Bodi ya Ligi inavyoendelea huku wana Yanga SC wote wakifurahi na Kuinanga Simba SC ni dhahiri kuwa hata TFF ikimtangaza rasmi Mwamuzi ( Referee ) safari hi hatojadiliwa au kutiliwa sana Mashaka na wana Yanga SC.

Kwani watakuwa bado wanasheherekea Ubingwa wao wa Takwimu za Kujaza Uwanja na Kukosa Ubingwa wa VPL kwa miaka Minne na kutolewa haraka CAF CL kwa Kufungwa nje ndani na Rivers United FC kutoka nchini Nigeria.

Na Kitu pekee ninachokifurahia Mightier ni kwamba 85% ya Watu walioko TFF na hata katika Bodi ya Ligi ni wana Simba SC lia lia ( Kindakindaki ) na najua katika hii Mind Game dhidi ya Yanga SC nao wametumika kama sehemu ya Mkakati.

Haya tuendelee Kushangilia Takwimu!!!
Imewachoma itabidi tu umzoee
 
Sasa hivi wanarudisha makocha wao wa zamani tusije kushangaa huko mbele Luc Eymel akirudishwa kama chief technical director 🤣🤣🤣🤣
Mbona Patrick phiri aliondoka simba akarudishwa akafukuzwa Tena
Ni ilitokea kwa mziray usiongee vitu kama mjinga
 
Mbumbumbu wanapata tabu sana, ili ujue kama Yanga imetapakaa nchi nzima, ZFA wilaya ya Mjimi pale Zanzibar ndio waandaji Wa kombe lamapinduzi. Kama wakiamua wawe waungwana waweke takwimu za mashindano ya mapinduzi cup kule Zanzibar, Mechi nyingi ambazo Yanga alicheza haijalishi Yanga ilifikia hatua gani ila ndio timu inayo ingiza mashabiki wengi katika mashindano hayo.
Kunakipindi Yanga walipeleka kikosi cha Pili lakini bado walivunja rekodi ya mashabiki
 
Simba Huu Msimu Wameingia Cha Kike Ni Suala La Muda Tu Ufike Tuwanyooshe.
Nawaza kama kuna simba ya kumfunga Yanga kwenye mechi yoyote ile msimu huu!!

Simba ya wachezaji wazee na watoto laini, halafu ipambane na Wazee wa kazi!! Yaani kazi kazi!! Akina Khalid Aucho, Feisal, Mayele, Bangala, Diarra, na wengineo wengi!!
 
Back
Top Bottom