Bodi ya lapf ivunjwe;mkurugenzi afukuziwe mbali;wafikishwe mahakamani kujibu tuhuma

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Aiwezekani sasa ifike wakati tuseme imetosha jamani jamani
story za magazeti bila kufanyia kazi atuziitaji..kamati ya bunge imefumua wizi wa billion 1.8 za lapf wakiingia mkataba na kampuni moja uchwara aka richmond 2.na wazungu wale wameondoka mpaka sasa awajalipa lapf zaidi ya billion 1.8 za kodi ya pango pale millenium na wakapewa mkopo wa million500 awajalipa na lapf wamewafadhili kwenye huo mkopo na washenzi hao wakiongozwa na bodi kupitisha million 500 bado wapo madarakani je mnataka tuanze kufanya yanayotokea libya ndio mjue watanzania tumechoka

rais kikwete tunaomba fukuza huyu mkurugenzi fukuza hii bodi ya washenzi atuuitaji kabisa imejaa kujipangia safari kila siku unawaona waanapangana na walalahoi pale airport kuelekea geneva london usa...wanakaa wiki mwezi hawana adabu kabisa wanatumia pesa za watanzania mnawaaachia hawa washenzi ..rais kikwete kama unataka maisha ya libya basi yako karibu kwa upuuzi unaoendelea kuulea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom