Bodi ya kahawa Tanzania(TCB) nao JIPU

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
3,830
4,057
Wakulima wa kahawa wanalalamika tangu wameuza kahawa huko mnadani miezi 2 sasa hawajapa fedha zao,wengi wana mikopo katika taasisi za fedha.
Waziri Mwiguli hebu ishukie hii bodi kunusuru maisha ya wakulima na zao la kahawa. maana ndio fedha pekee wanazotumia kupata pembejeo.
Napata mashaka pengine fedha hizo za mauzo wanafanyia biashara zao afu ndio wanawalipa wakulima. nao ni wananchi wanahitaji haki yao kadiri inavyopaswa ktk makubaliano ya kulipwa ndani ya siku 21 nazo kwa maoni yangu sioni sababu ya wakulima kusubiri zaidi ya siku 3 za kazi. Hawa TCB waige mfano wa DSE katika kufanya clearance baada ya kuuza hisa.
Hapa kazi tu.
 
Back
Top Bottom