Bodi ya Filamu yakataa tena script ya Video mpya ya Chura wa Snura

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,511
28,410
x13249736_1678488985750442_2021467710_n.jpg.pagespeed.ic.ZZmJN_Jbj6.jpg

Bodi ya filamu Tanzania imeikataa script mpya ya video ya Chura ya Snura.

Mwezi na nusu uliopita, Wizara ya Habari,Utamaduni ,Sanaa na Michezo iliifungia video ya wimbo huo na kumwagiza Snura awasilishe script mpya ambayo hata hivyo baada ya kufanya hivyo nayo imekataliwa.

Akiongea na 255 kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM, Snura alidai kuwa baada ya bodi hiyo kukaa kwenye kikao iliona kuwa bado script mpya inataka kufanana na video iliyopigwa marufuku na kumkataza kushoot.

Amedai kuwa jibu hilo lilimchanganya na kumrudisha nyumba na kwamba video ya pili alipanga kuwepo mwenyewe na wala hatocheza zaidi kutembea.

‘’Nilipeleka script a video mpya ta Chura bodi ya filamu ilichukua muda kidogo kuipitia nilifuatilia sana ndio nikapewa majibu baada ya wao kukaa kikao na kupitia wakaniambia kuwa ile script hwajaikubali nishuti kwasababu wanasema maudhui yake yanataka kufanana na ile video ya mwanzo.

Nilishindwa kuelewa kwasababu kwa uelewa wangu niliona nimeandika kitu tofauti kwasababu video ya mwanzo ilikuwa imechezwa kwenye maji na wanawake ndio walikuwa wanacheza lakini video hiyo ambayo niliyokuwa nimeiandika ilikuwa ni mimi mwenyewe ndio nitakuwepo kwenye hiyo video halafu sichezi natembea huku naimba.

Halafu watu wananiona mie natembea huku naimba na wao wananifuata kwa nyuma huku wanacheza naenda napanda daladala na wao wanapanda nikishuka na wao wanashuka huku wakicheza’’ Alisema Snura
 
Bodi ya Filamu yakataa Tena Script ya Video Mpya ya Chura wa Snura.

Snura Chura
 
Hii bodi nayo imekuwa mstari wa mbele sana kukwamisha maendeleo ya sanaa nchini chini ya kivuli cha maadili. Sanaa ni zaidi ya elimu,in biashara pia hivyo inahitaji ubunifu ili kazi zikubalike. Wasanii wakiingiza na vionjo flani vya mapenzi ili kuongeza mvuto ktk kazi zao bodi hukimbilia kuzizuia,bado wana mawazo na fikra za mwaka 80 sana,wanapaswa kubadilika kuendana na nyakati.
 
hawana kazi za kufanya hao, video ngapi za amerika chafu zinaonyeshwa, wangefungia zote
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom