Bodaboda zapigwa marufuku Nigeria, zaidi ya 2000 zaharibiwa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,021
1,609
1654264309301.jpeg

Hatua hiyo inajiri kufuatia kuuawa kwa Sunday David (38) na watu wanaoshukiwa kuwa waendesha bodaboda maarufu kama Okada baada ya kutofautiana kuhusu nauli mwezi uliopita, jambo ambalo lilizua ghadhabu.

Marufuku hiyo iliyoanza kutekelezwa Juni 1,katika miji ya Eti-Osa, Ikeja, Surulere, Kisiwa cha Lagos, Lagos Bara na Apapa imezua hisia tofauti kutoka kwa wakazi wa jiji hilo wengine wakisema waendeshaji huendesha kwa hatari, huku wengine wakisema biashara hiyo imetoa ajira nyingi kwa vijana

Marafuku hiyo ni ya pili baada ya mwaka 2020 kushindwa kutekelezwa

.....................................................

The move comes following the lynching of a man by suspected riders last month, which sparked outrage.
Sunday David, a 38-year-old sound engineer, was killed in the upmarket Lekki neighbourhood after a disagreement over fares.

His death sparked outrage and forced authorities to act.

The ban has had a mixed reaction from local residents with some saying the riders drive dangerously, while others say okada riding provides vital work for young people.

An artisan residing in Ikeja, Wasiu Adekoya, bemoaned the highhandedness of the riders.
"They [the motorcyclists] kidnap people. What the government did is fine. We don't want trouble in Lagos state. But let them roll out more buses to augment the shortfall."

Another resident who identified himself simply as Pastor Abraham pleaded for leniency, saying okada riding provided vital income for many.

"There is poverty in the country. Total ban is not realistic," he said. "This is what some people are using to feed themselves. Let the government be mindful."

Since the ban has been put in place, parts of the city that are usually buzzing with okada riders have seemed unusually quiet.

Source: BBC
 
Watu/viongoz wanachukulia matukio kimihemuko.

Hapo ubongo lazima utumike, kwa juzi askar ameua raia ina maana askar wote hawafai waache kazi.!???

Very shame we african!
Sahihi kabisa
Lazima jitihada zifanyike ili kila mmoja aishi
 
Boda boda sio ajira ndo maana huoni nchi zinazojielewa zikitumia kama ajira
 
Swala la boda boda in Africa it's already too late.

We can't undone this thing.

Kinachotakiwa ni kuweka utaratibu madhubuti.
 
Bodaboda wengi hawajiamini na kudhania tu kwamba wanadharaulika kwa sababu ya kazi yao.Ndiyo maana ikitokea changamoto ndogo tu na mteja wao huanzisha ugomvi,uharibifu wa mali, uporaji na hata kuumiza wateja au kuua kabisa.Inferiority complex imewajaa vichwani mwao.
 
Back
Top Bottom