Bodaboda wana siri nzito

Kama huyu eeh
FB_IMG_1571652161502.jpg
 
Katika shughuli zangu za hapa na pale nilipata mda Wa kuchunguza hawa vijana wetu Wa bodaboda wanafanyaje kazi zao, lakini nimebaini hawa bodaboda wana siri nzito sana ukiamua kuzifanyia kazi;

Tunapokuwa makazini hawa bodaboda ndiyo wapiga doria mtaani

Hawa bodaboda ndiyo wanaobeba wake zetu kupeleka kwa mabwana mbalimbali

Hawa bodaboda kwa vile wanatunza siri za wake zetu mwisho Wa siku nao huambulia kuonjeshwa penzi na wake zetu ili wasiharibu mambo

Miongoni mwa vifo vya bodaboda ni double criminal; yaani Bodaboda wengi wanauwawa kwasababu ya either kwa kushindwa kutoa siri kwa mme anaebaini kuibiwa mke wake, kwahiyo mwenye mke huamua kulipa kisasi kwa kupanga shambulizi la kuua na kupora pikipiki ili kupoteza ushaidi. (wanawapora pikipiki ili kulifanya tukio lisionekane la kisasi kumbe nyuma ya pazia ni kisasi)

Hawa bodaboda wanafahamu wageni wanaoingia na kutoka mtaani kwako

Hawa bodaboda wanajua siri na aina ya ulinzi tulio nao

Hawa bodaboda wanafahamu kipato cha kila MTU, mwenye pesa na masikini

Hawa bodaboda wanafahamu mida yetu ya kutoka na kurudi majumbani

Bodaboda hawabagui Twiga,ngamia na suala yaani wanaweza kula mtoto,mama na mamamtu akijipendekeza.

Hawa bodaboda wakikosa wateja baadhi yao hubadilika na kuwa vibaka.

Hawa bodaboda wanatumikaga pia kuchora mchongo

Bodaboda hawa maeneo ya mipakani ndiyo wanaosafirisha magendo

Kuna bodaboda mmoja pale mikocheni anajulikana kwa mipira iliyopoa; yaani anatafuna marinda ya vichaa na walevi wanaolala mtarolini! n.k

ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO

View attachment 1063331
View attachment 1063333
Mipira iliyopoa
 
Back
Top Bottom