Lukataluko
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 1,345
- 1,572
Leo tarehe 07/02/2019 asubuhi ktk ukumbi wa mkapa uliyoko mbeya mjini, kulikuwa na kikao kati ya madereva boda boda na mkuu wa wilaya ya mbeya mjini pamoja na mkurugenzi wa jiji.
Kikao hicho kimevunjika ghafra mara baada ya kutokea kutoelewana kati ya mkuu wa wilaya na madereva hao.
Madereva hao wamesema hawako tayari kununa vitambulisho vya wajasiriamali walivyo takiwa kuvinunua, ikumbukwe kuwa jiji la mbeya limepewa vitambulisho elfu 45, kwaajili ya kuwauzia wajasiriamali wadogo,wanyakyusa wanamsemo wao vakuti imbombo ngafu, upaul umusi ughu simwaghile inyali.
Sent using Jamii Forums mobile app