Bodaboda matatani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodaboda matatani

Discussion in 'Celebrities Forum' started by KIPANYA, Jan 4, 2011.

 1. KIPANYA

  KIPANYA Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mi nashangaa hawa viongozi sijui vipi jamani? eti ikitokea ajari tu ndo wanaanza kusema tunakagua leseni za wendesha pikipiki, inamaana muda wote hawajui kuwa wanawajibu huo?
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  Tuseme ukweli kila siku watanzania si chini ya watatu wanafariki kutokana na ajali na wizi wa pikipiki!swali sheria inaruhusu gari ya miguu 2 kubeba abiria?
   
 3. Rodcones

  Rodcones JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 16, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ok naona maada inachanganya
  kulingana na hali halisi ya nchi yetu then tunahitaji bodaboda
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  funika kombe mwanaharamu aipte :)
   
 5. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  kwa pikipiki hizi za kichina tujiandae kuwa na walemavu wa miguu na wategemezi wa kutosha
   
Loading...