BODABODA inauzwa

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
70,493
92,304
Kama unaihitaji Piga *101*0716800800*2000#

new1.jpg
 
watu8 naona number yako iko kwenye permanent "tigo rusha mode"!
 
Last edited by a moderator:
Aisee inataka moyo kuwa bodaboda kama hii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mimi nilifikiri hapo alipokaa dereva ndipo kungekuwa kwa abiria ili dereva akae mgongoni.
hapo ungekula vicha haswa usiku ila kazi ni kuiosha asubuhi.
haha haha hahaaaaaa....
 
mimi nilifikiri hapo alipokaa dereva ndipo kungekuwa kwa abiria ili dereva akae mgongoni.
hapo ungekula vicha haswa usiku ila kazi ni kuiosha asubuhi.
haha haha hahaaaaaa....

hii bodaboda ni spesheli kwa abiria kukaa hapo mgongoni na dereva kukaa nyuma...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom