Boda Congo malori yamewaka moto

Casuist

JF-Expert Member
Jul 23, 2014
1,179
2,940
Gari zimewaka moto kama hamsini na watu wengi wamekufa, Ni Congo kilometa chache baada ya boda kuna sehemu inaitwa Wisk, kuna parking kubwa ya malori. Chanzo ni gari linalobeba mafuta(tanker) ya South Africa ilokua imebeba Petrol, iligonga tank lake kwenye trailer ya lory jingine, ndipo ukalipuka na moto kusambaa kwenye magari.

attachment.php

Mhh ni habari ya Mbaya sana kwa Matajiri...

Kwa upande wa wananchi ni kilio kikubwa kama kuna waliopoteza maisha.

attachment.php
 
Ni kweli matenk ya mafuta yamelipuka na kuna malori yalikua kwenye foleni pale yard yameungua mengi tuu na watu wengi wamepoteza maisha hali sio nzuri kutokana na malori kugeuza na kukimbia ilikua ni vigumu kupata picha taharuki ilikua kubwa na milipuko ya matenk ya kuhifadhia mafuta
 
Congo Kubwa jamani ni Sehemu ipi ya Congo, maana Border zinazopita maroli mengi ni Goma na Ruzizi-East Congo , na Kasumbalesa-Katanga
 
Hiyo ndiyo picha pekee waloweza kuipiga
 
Attachments

  • 1416916549912.jpg
    1416916549912.jpg
    42.8 KB · Views: 4,308
Hii ni moja ya picha niliyotumiwa muda huu na dereva wa hilo gari linaloonekana hapo,ni la Tz na dereva ni mTz pia
 
Attachments

  • 1416917216666.jpg
    1416917216666.jpg
    122.9 KB · Views: 925
Kuna mCongo kanitumia picha kwa fujo hapa,nimeona ni shee nanyi
 
Attachments

  • 1416917902980.jpg
    1416917902980.jpg
    46.5 KB · Views: 850

Similar Discussions

Back
Top Bottom