Boda boda zitaongezeka na kuendelea kuua na kujeruhi

mamanalia

JF-Expert Member
Nov 7, 2009
666
146
Wao wanatumia ma V8 ya serikali! Hawajui hata jinsi ya kupanda boda boda na hata familia zao haziathiriki na bodaboda. Vijana wetu wanafurahi kufutiwa kodi bodaboda, mchina pia anafurahi kuuza bodaboda na spare. Lakini ninawashauri waongeze kujenga wodi za majeruhi wa bodaboda na wapanue au waongeze mochwari.
 
Wengi wa wanaokufa ni wao wenyewe. Jambo la kufanya ni kuwaogopa kama ukoma. Lakini hii inaweza kuwa ngumu kwa kuwa bei ya mafuta imepanda. Wako watu watapaki magari na wengine kutembea umbali mrefu kwa miguu. Maisha bora kwa kila mtu inawezekana.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Labda kama kuna boda boda za diesel,..
Lakini hizi za petrol zimekuwa gharama maradufu.

Mfano inayotumia petrol lita 5 kwa siku..
Ongezeko la gharama kwa siku = 5litres * Tshs 61/litre = TShs 305
Kwa mwaka = TShs 305 * 365 = TShs 111,325.
Hii ni kubwa kuliko iliyokuwa leseni ya bodaboda ambayo kama sikosei ilikuwa ni TShs 50,000 kwa mwaka.
 
Wao wanatumia ma V8 ya serikali! Hawajui hata jinsi ya kupanda boda boda na hata familia zao haziathiriki na bodaboda. Vijana wetu wanafurahi kufutiwa kodi bodaboda, mchina pia anafurahi kuuza bodaboda na spare. Lakini ninawashauri waongeze kujenga wodi za majeruhi wa bodaboda na wapanue au waongeze mochwari.

This is because of lack/poor economic & social planning under CCM PERSONELS.BODABODA IS MERELY A TRANSPORT OF LOW INCOME PEOPLE WHO ARE NOT WILLING TO,RATHER IT IS BECAUSE OF POVERTY.I'M TELLING CCM GVT;ALWAYS DO RIGHT.THIS WILL GRATIFY SOME PEOPLE AND ASTONISH THE REST.THERE4 YOU ARE RIGHT TO ENGINEER POVERTY IN THIS SOCIETY.
 
Kwani wewe hukuelewa Mgimwa alipokuwa anasisitiza kwa Kihehe alipokuwa anasema"Eeeh"?Kwamba wajinga ndio waliwao?ANASEMA INJI HII .......NAMSUBIRI KALENGA.
 
Wao wanatumia ma V8 ya serikali! Hawajui hata jinsi ya kupanda boda boda na hata familia zao haziathiriki na bodaboda. Vijana wetu wanafurahi kufutiwa kodi bodaboda, mchina pia anafurahi kuuza bodaboda na spare. Lakini ninawashauri waongeze kujenga wodi za majeruhi wa bodaboda na wapanue au waongeze mochwari.

This is because of lack/poor economic & social planning under CCM PERSONELS.BODABODA IS MERELY A TRANSPORT OF LOW INCOME PEOPLE WHO ARE NOT WILLING TO,RATHER IT IS BECAUSE OF POVERTY.I'M TELLING CCM GVT;ALWAYS DO RIGHT.THIS WILL GRATIFY SOME PEOPLE AND ASTONISH THE REST.THERE4 YOU ARE RIGHT TO ENGINEER POVERTY IN THIS SOCIETY.
 
Nchi gani ilio serious ambayo inategemea usafiri wa bodaboda? Mi narudia kusema..nchi imelaaniwa kwa kuchagua wapumbavu watuongoze. ..hatutokaa tupige hatua kamwe.
 
Back
Top Bottom