Boda boda wachoma tena gari boko Dawasco

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Boda boda wenye hasira wamechoma gari, boko dawasco, msimuliaji anadai ilikuwa mida kama saa sita hivi . Jamaa ambaye akutambulika alimugonga dereva wa boda boda na kufariki hapo hapo ndipo akatokea vurugu kubwa zilizosababisha kuchoma gari.
 
Tumewalea wenyewe hawa..serikali umelala usingizi wa pono, wakija kuchoma idara nyeti za serikali kama ilivyotokea Mtwara ndio watazinduka kulaani kutoa matamko na kuunda tume za kwanini bodaboda wanafanya hivi
 
Back
Top Bottom