Bobrisky , The famous and rich Gay in Nigeria

Hii pic sku zote najuaga shishi..uzee huu aaah..
Kumbe mchicha pori..aaargh
tapatalk_1559934218127.jpeg
 
Hiyo picha yake ya kabla ya kujibalisha ndio huwa sichoki kuiangalia.. maana eeeeh hasiyemjua hawezi kumdhania ni yeye.

Siku hizi nilipoona kawa demu kizaidi na kujiongea matako n.k. nikachoka kumsoma hata kumuangalia snapchat..

Ila ni kiboko huyo kwani anakimbizana na wanawake na kuwatukana ati yeyw mzuri na anapata wanaume bombaaaa eti wanawake hawawezi kuwapata.

Bonge la danga huyo grade ya juu kabisa.. ila anaakili pia ya kujiongeza.
Analikuwa anafanana na harmonize
 
Back
Top Bottom