Bobi wine: Rafiki wa mwanaharati atekwa na kunyofolewa macho

sido9797

Senior Member
Aug 15, 2018
160
84
Mwanaharakati wa Uganda maarufu kama Bobi wine(#Powerpeople)amepatwa na pigo kali baada ya comrade mwenzake Ziggy wine kutekwa kwa siku tatu na kupewa kipigo kizito kilichopelea kuwa mahututi.

Amenyofolewa jicho na kukatwa vidole viwili.

Screenshot_2019-08-03-22-55-10.jpeg
Screenshot_2019-08-03-22-55-22.jpeg
 
Back
Top Bottom