Bobi Wine apata dhamana

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mgombea Urais wa nchi hiyo kupitia National Unity Platform (NUP) Robert Kyagulanyi anayefahamika zaidi kama Bobi Wine amepata dhamana baada ya kukamatwa Jumatano

Kwa mujibu wa Polisi, Mgombea huyo alikamatwa kwa madai ya kukiuka taratibu za COVID19 ambazo zimewekwa na Serikali kupitia Wizara ya Afya

Nchi hiyo imeingia katika vurugu kufuatia kukamatwa kwake na baadhi ya watu wamepoteza maisha na kujeruhiwa huku mamia wakikamatwa

PIA, SOMA:
 
Naona jamaa kaja kuchukua mateso ya Dr. Kiiza Besigye. Maana yule kila siku ilikua ni kukamatwa na kichapo kisha anapelekwa kolokoloni.
Viongozi wetu Afrika bado sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom