Bob wine afanikiwa kuwatoroka Polisi

Saoka

JF-Expert Member
Oct 23, 2018
404
563
UGANDA: BOBI WINE AFANIKIWA KUTOROKA POLISI KWA KUTUMIA BODABODA

- Amefanikiwa kutoroka ulinzi mkali wa Polisi uliokuwa ukizingira nyumba yake huko Magere

- Inadaiwa anaelekea kwenye Tamasha lake la Muziki alilozuiwa kulifanya huko Busabala


Source #JFLeo
IMG-20191009-WA0046.jpeg
 
Huyu Mheshimiwa anampa tabu Sana Raisi Museveni.

Nadhani nguvu kubwa anayojivunia ni Vijana.
 
Mseveni si aliikataa Demokrasia sása Boby na yeye aingie Misitu ya Kongo
 
Jamaa kamsababishia lresidaa naye kujiunga na Kikundi cha wasanii wanaomuunga mkono huko Uganda ili aendelee kupunguza ushawishi wake
 
Back
Top Bottom