Bob Wangwe alipa faini na kuwa huru, asema hajaridhishwa na maamuzi

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,441
7,780
Wangwe.JPG

Wange amelipa faini na yuko huru ila kasema hajaridhika na atakata rufaa. Mapema leo Bob Wangwe ambae na mtoto wa marehemu Chacha Wangwe aliyekuwa mbunge wa Tarime alihukumiwa mwaka mmoja na nusu gerezani au faini ya Tshs milioni 5.
 
Back
Top Bottom