Bob Marley ni mwanamziki pekee ambaye lazima umjue hata kama hauna interest naye

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Nimethibitisha kupitia watoto wa shuleni ukipiga nyimbo zake wanazijua.
Pia 90% tuliomo humu tumezaliwa wakati ye kashafariki na tunajua nyimbo zake .....
NB:Good music ..tunasikiliza sana usiku kwenye jahazi...
 
Legends live forever....
 
Here
 
Attachments

  • Culture - Brother Bob Marley, -.mp3
    5.6 MB · Views: 36
kila aina ya muziki una legend wake na huyo legend ni jambo la kawaida kujulikana vizazi vingi vijavyo. bob yeye ni reggae. ukienda pop wapo kina michael jackson na madonna, Hip Hop yupo tupac etc
 
Nimethibitisha kupitia watoto wa shuleni ukipiga nyimbo zake wanazijua.
Pia 90% tuliomo humu tumezaliwa wakati ye kashafariki na tunajua nyimbo zake .....
NB:Good music ..tunasikiliza sana usiku kwenye jahazi...
Humu kuna wakongwe wakati Robart Nesta Marley a.k.a Bob Marley anatengeneza gitaa la kopo tunamuangalia tu na kumwambia aache kujichafua usichukulie JF kama fb.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom