BOB MAKANI na uhalisia wa JINA LAKE...

Jakaya = Imekujia dalili (sign) njema.
Mrisho = Wa ki Mauritius
Kikwete = Hili la kiasili sijui maana yake.
Tofauti na mwenzio aliyetoa tafsiai ya Majina ya Marehemu Bob alitoa na asili ya Lugha aliyotafsiri.
Sasa wewe umefanya ki system zaidi.
 
ritz na zomba nawaomba msearch jina hili hapa chini Facebook ndio mjijue mlivyo majuha na wajinga wa mwisho. Huyu ni mchungaji.

Jamaly Ally Hussein
[h=3]Basic Info[/h]

SexMale

Interested InMen and Women

LanguagesSwahili, English and Arabic

Religious Views
  • Other
    Jesus' personality, philosophy and ways of life!

Political Views
  • Other
    "any idea that works to make this planet a better place to live"

Last edited by a moderator:
Bob Nyanga Makani,Mwenyekiti wa pili na Katibu Mkuu wa kwanza wa CHADEMA,amefariki dunia jana.Ninaomoyo mnyenyekevu kuwapa pole wote wanaohusika kwa namna moja au nyingine na msiba huu mkubwa.Mungu awape ustahamilivu na ujasiri mkubwa.Bwana alitoa,Bwana ametwaa...jina lake LIHIMIDIWE! Amina.

Hayati Bob Nyanga Makani alikuwa wa kipekee.Pamoja na kuwa Mwanasheria(baadaye Wakili wa Mahakama Kuu tangu tarehe 4/4/1986 na kupewa Nambari 131 ya Uwakili),alikuwa ni Naibu Gavana wa Kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania.Baadaye,kutokana na kutoridhishwa na utendaye Serikalini,Bob Nyanga Makani akishirikiana na wanamageuzi wengine chini ya Edwin Isaac Mtei,walianzisha CHADEMA mwaka 1992 naye kuwa Katibu Mkuu wa kwanza.

Neno 'Bob' humaanisha,pamoja na vitu vingine,kutikisa(hasa kichwa) kuanzia chini kwenda juu.Huonyesha usikivu wa kufuatilia na kukubaliana na jambo la msingi linaloelezwa.

'Nyanga' katika lugha ya Nyanja ya pale Zambia(ambayo hufanana na lugha nyingine za kibantu hapa kwetu) humaanisha pembe ya ndovu.Hii inaonyesha kuvuma na kuwa maarufu sana.Yeye pia alikuwa hivyo.

'Makani' kwa Kinyanja hichohicho,humaanisha upinzani wa kimaneno au kimatendo.Hapa sina haja ya kutoa maelezo marefu.Kila mtanzania anajua.Alikuwa mpinzani wa kweli.

Huyo ndiye Bob Nyanga Makani.Pumzika kwa amani Wakili Msomi na Mpambanaji 'Msikivu Mvumaji Mpinzani wa kweli'...

Makani ni neno la kisukuma lina maana ya KIBURI (MAKIBURI)
 
Bob ni kifupisho cha neno Robert. Nikama neno William kifupi chake Bill acha kueleza kama hujui
 
ritz na zomba nawaomba msearch jina hili hapa chini Facebook ndio mjijue mlivyo majuha na wajinga wa mwisho. Huyu ni mchungaji.

Jamaly Ally Hussein
[h=3]Basic Info[/h]

SexMale

Interested InMen and Women

LanguagesSwahili, English and Arabic

Religious Views
  • Other
    Jesus' personality, philosophy and ways of life!

Political Views
  • Other
    "any idea that works to make this planet a better place to live"

Kauzu zaidi ya dagaa! Hujui mada ni nini unakurupuka tu..anza mwanzo wa thread hujue watu wanajadili nini...nani kakuambia jina ndio dini.
 
Last edited by a moderator:
Spelling kidogo mkuu, ni Ng'hani siyo nghani. Neno Ng'hani kwa kisukuma halina uwingi, hivyo Makani siyo uwingi wa ng'hani hata kidogo. Na hilo neno/jina (Makani) halina maana ya kiburi hata kidogo!
Wewe sio msukuma Soma hii sentensi hii halafu tafsiri: akayanda kenaka kina makani giti ninako"
 
Bado tu hamjatoana mijicho. Kwa taarifa tu atakayemg'oa mwenzie jicho atamtibu yeye mwenyewe sis tunagoma!
 
Kauzu zaidi ya dagaa! Hujui mada ni nini unakurupuka tu..anza mwanzo wa thread hujue watu wanajadili nini...nani kakuambia jina ndio dini.
Then What is Ur Arguments here!!.....Yeye ndio amerejista jina lake kama Robert Makani then who are you umpangie majina wewe? ni upuuzi leo kusema yule bondia wa Marekani kwamba Muhamad Ally siyo jina lake huu ni ujuha wa hali juu na ndio maana nimekuonesha huyo mchungaji anaitwa Jamal Ally Hussein. Kilaza wewe.
 
Nilichojifunza hapa ni kuwa Mwanzilishi wa CHADEMA hakuwa mkristo, wala hakuwa mchaga. Hivyo kwa mtazamo wangu ni dhahiri kuwa hiki chama sio cha wachaga wala hakifungamani na wakristo kama Magamba walivyopotosha ukweli. Nadhani hiki chama kimempoteza mwana uhamsho mwanzilishi aliyekuwa na uchungu na maisha ya wananchi..RIP Baba wa taifa wa Chadema- MAKANI
We nawe wa wapi Mwanzilishi ni Mtei sio Makani. Aliitwa tu
 
Mnataka kutuambia nae alikuwa uamsho? acheni kuleta porojo uamsho wanajulikana kwa uchache Seif Shariff Hamad, Issa Ladhu, Lipumba, na wengineo
 
Pastor Jamal Ally Hussein akimwaga neno la Mungu jukwaani maeneo ya kawe jijini Dar es salaam.

304233_273749582654559_1453080799_n.jpg
 
Then What is Ur Arguments here!!.....Yeye ndio amerejista jina lake kama Robert Makani then who are you umpangie majina wewe? ni upuuzi leo kusema yule bondia wa Marekani kwamba Muhamad Ally siyo jina lake huu ni ujuha wa hali juu na ndio maana nimekuonesha huyo mchungaji anaitwa Jamal Ally Hussein. Kilaza wewe.

Tumia basi hata akili yako ndogo ya kuvukia barabara hayo majina ya Ally Mohamed Makani kapewa na wazazi wake sijampa mie...hata mtoto wake wa kiume naye kampa jina la Mohamed Makani...sasa wewe ulivyokuwa mwepesi wa akili unakimbilia kwenye google ndio silaha yako kuu...wala mie sijakuambia jina ndio dini Bob Mohamed Ally Makani, alikuwa ni Muislam, kama wewe unapinga sina cha kukusaidia familia yake ndio wametufahamisha hivyo sasa wewe kupiga porojo JF ni kuonyesha ulivyo kauzu .
 
ritz na zomba nawaomba msearch jina hili hapa chini Facebook ndio mjijue mlivyo majuha na wajinga wa mwisho. Huyu ni mchungaji.

Jamaly Ally Hussein
Basic Info

SexMale

Interested InMen and Women

LanguagesSwahili, English and Arabic

Religious Views
  • Other
    Jesus' personality, philosophy and ways of life!

Political Views
  • Other
    "any idea that works to make this planet a better place to live"

Wewe ndio juha hata visomo vya Kiislaam vilivyokuwa vinaendelea katika msiba wa Makani hujavielewa, au hujaona kwenye TV? punguani. Unajuwa maana ya Jamal? Halafu sishangai kuwa huyo jamaa ni mchungaji, huoni interest zake hapo? kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Siku zote si mnasema Chadema ni chama cha kanisa katoliki? sasa Makani anakuwaje muislam? Mi siku zote najua Bob Makani ni Mkatoliki kutoka Kaskazini.

Hao ni waanzilishi waliopewa amri na Ikulu na fedha na Ikulu wakaanzishe chama, usiwe punguani.
 
Wewe ndio juha hata visomo vya Kiislaam vilivyokuwa vinaendelea katika msiba wa Makani hujavielewa, au hujaona kwenye TV? punguani. Unajuwa maana ya Jamal? Halafu sishangai kuwa huyo jamaa ni mchungaji, huoni interest zake hapo? kwi kwi kwi teh teh teh.
Jamaly Ally Hussein, huyu alikuwa katika kundi lile la wavaa vipedo na mihadhala kama ya Uamsho kabla hajampokea Yesu.
 
Jamaly Ally Hussein, huyu alikuwa katika kundi lile la wavaa vipedo na mihadhala kama ya Uamsho kabla hajampokea Yesu.

Baada ya kuishiwa hoja umeamua kuleta vioja...kweli wewe mganga wa kienyeji.
 
Jamaly Ally Hussein, huyu alikuwa katika kundi lile la wavaa vipedo na mihadhala kama ya Uamsho kabla hajampokea Yesu.

Si anajua huko kuna ulaji kama kina Mzee wa Upako mambo ya kuwapiga watu kiini macho cha kuponya vilema ilhali vilema wamejaa tele barabani na kingine ni dili za unga? hujasikia kwenye Tv na radio weyye? yule mchungaji alokamatwa na unga pale aipoti? na je Kakobe yuko wapi siku hizi ?
 
Ameolewa na Said Iddi Mohammed Simba na kama utabaini aliyekuwa mshenga ni Eng Abdullah Saleem Al harthy ambaye alikuwa classmate wa Iddi Simba na rafiki mkubwa sana wa Bw Mohammed Makani. Mimi nilikuwepo kwenye harusi hiyo.

WALLAHI nawashangaa sana wanaoleta ubishi wa kijinga humu, hawaoni hata janaiza lake limefunikwa , na hawaoni hata watu wanasoma Quraan moja kwa moja na pia Duaa zimesomwa na mikono kunyanyuliwa , mie sielewi kinachobishaniwa hapa just because of Name? kweli ndio great thinkers hawa?
 
Acheni kupotosha! Iwe anaitwa Bob, Nyanga, Makani, au Mohamedi, mzee wetu amezikwa kwa heshima zote za kiislamu. Anayejua yake zaidi ni Mungu aliyemchukua mbele za haki.
Inna llaah, wainnah illaah rajiunah.
 
Back
Top Bottom