BOB MAKANI na uhalisia wa JINA LAKE...

Mmhhhhh......:shut-mouth: ndugu zangu kama mtu hujui kitu ni bora upite kimya kimya kuliko kuchangia vitu vya uongo!!!!!

Ndugu yangu JF sio sehemu ya porojo kitu kama hujui kitu kaa kimya! Hivi mtoto wa marehemu Bob Makani, Mohamed Makani akisikia hii kauli sidhani kama atajisikia vizuri kweli.

'Hamjanisoma' tu! Tuacheni hayo ya dini na udini, tuendelee na maombolezo ya Mzee wetu Bob N Makani.
 
Hili ni fundisho kwa tulio hai, taja jina lako kamili kabla umauti haujakufikia, ili kuondoa utatanishi kwa wananchi,


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD

Kuna utata gani hapo? Kwani angeamka leo angesema vingine? Huu ni kati ya mijadala isiyo na mwelekeo wala tija yeyote.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Ndugu yangu JF sio sehemu ya porojo kitu kama hujui kitu kaa kimya! Hivi mtoto wa marehemu Bob Makani, Mohamed Makani akisikia hii kauli sidhani kama atajisikia vizuri kweli.

Na vipi yule binti yake Dr Julie Makani??
Hili ni suala tatanishi na nifundisho kwa uamusho kwamba uislam na ukristo wa watanzania umejichanganya sana katika jamii ni tofauti na jamii zingine kama za kisomali, kioman nk ambazo huwezi kuta dini zote mbili ndani ya familia moja
 
Wazee wa JF, marehemu hata kuzikwa bado mnamfanyia mzaha. Staha kidogo basi jamani ili mzee wetu apumzike kwa amani. Kipindi cha majonzi hiki.
 
Kuna watu wanafikiria kuwa wao ni wawakilishi wa Mwenyezi Mungu. Wakimwona au kusikia jina la mtu tu basi wameshajua kama ataenda mbinguni au motoni. Hawa ni watu waliofilisika sana. Mungu siyo wa hivyo. Ni wa zaidi ya hivyo. Kila mtu anapendwa na Mungu. Wewe usimsaidie Mungu kupanga atakapokwenda kwani umejitwalia tu hayo mamlaka.
 
Back
Top Bottom