TANZIA Bob Makani afariki dunia

nawapa pole wafiwa wote na chadema kwa ujumla
kwa kumpoteza mzee wao.
 
Namkumbuka kipin BOb makani pale CHADEMA SQUARE, alipewa nafasi ya kuwasalimia watanzania, maskini ghafla akadondoka, KWANGU Mimi niliyahisi maumivu makali moyoni mwangu, kisha nikasema ukombozi una gharama zake, kamwe sitaisahau sauti yake
 
RIP kamanda Bob Nyanga Makani. Nitakukumbuka enzi hizo tukiwa pale ofisini Kisutu pia kwenye kampeni zetu za Ubunge kule Shinyanga. Ilijitoa hasa kupigania Demokrasia.
 
Mimi nitamkumbuka mzee Bob Makani alipoanza kukomaa kuwepo na mabadiliko ya katiba miaka ya 1996-97 if sijakosea...
 
Namkumbuka kipin BOb makani pale CHADEMA SQUARE, alipewa nafasi ya kuwasalimia watanzania, maskini ghafla akadondoka, KWANGU Mimi niliyahisi maumivu makali moyoni mwangu, kisha nikasema ukombozi una gharama zake, kamwe sitaisahau sauti yake
Sauti nzito yenye rafudhi ya kisukuma. Sauti iliyojaa mamlaka na hekima.
 
Habari za uhakika muda mchache uliopita nimepata taarifa ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema kabla ya Mbowe...Mzee Bob Makani amefariki.

R.I.P Bob Makani

Source: Kutoka kwa ndugu zake.
Rest In Peace Commander,U will always be in our Hearts.
 
R.I.P Mzee Makani. Kazi uliyofanya duniani hapa si haba na tutakukumbuka na kukuenzi
 
Back
Top Bottom