RIP Bob Makani
umelala mauti wakati nyota ya mabadiliko ikianza kung'ara juu ya anga la Tanzania, wana wanchi hawatasahau mchango wako hakika mwendo uliupiga kazi umeimaliza pumzika kwa amani baba.
POLENI CHADEMA na taifa zima la wapenda maendeleo
Tunamshukuru Mungu kwa matendo yake, na vile ulitumika kwa nafasi yako na leo sehemu ya matunda yanaonekana!
Utaendelea kuwa shujaa wetu....
Pumzika kwa amani Bob.
Dunia ni kama safari, na ni lazima ufike unapoenda, hiil ni kumbukumbu kwa wale waishio kama ndio wamefika duniani.
Wajameni tufanyeni ibada, wajameni tusidhulumiane, wajameni tumche mola wetu.
Poleni wanafamilia na muwe na subra, na poleni wale mliomtelekeza..........
Note:
Haya pia ni mawaidha kwa muasisi wetu! .............
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.