Bob Amsterdam ni Mamluki; Watanzania tuweni macho sana

Dinazarde

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
37,801
2,000
Ipo siku tutamkumbuka Lissu sanaa kajitolea sana kutukomboa lakin tumekaa kimya tu amekamatwa tupo kimyaa tu
 
iamokay

JF-Expert Member
Jul 13, 2019
970
1,000
Bunge linaenda kuwa sehemu ya ofisi za chama, mbunge akizingua na kujifanya mjuaji na mkosoaji wa mambo, anavuliwa uanachama, anachaguliwa mbunge mwingine, jimboni anapita bila kupingwa, hakuna uchaguzi. Mlifikiri mbunge hawezi kutumbuliwa, wait and see. Maisha yanaendelea. Kwahiyo kama wanafikiri mambo yao ndio yatapita kiwepesi, basi wajue na hili pia ni jambo lao. Wabunge watchout.
 
CHIBURABANU

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
1,028
2,000
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani cha ajabu mtu akija na pesa cash nyingi Airport anaporwa na akipitishia Bank zikionekana BOT nao wanamora kisha kumtishia kesi za utakatishaji fedha.

Nchi inakosa pesa Akiba ya pesa za kigeni imeshuka mno, wafanyabiashara wakubwa wote sasa wanatumia mabenk ya Uganda, kenya Zambia ambao wapo busy kuinua uchumi hawana time kupora wafanyabiashara pesa zao kisha kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi ama kuwapa vitisho vya kesi kesi zingine, CCM inaporomosha uchumi kwa visheria vyake vya unyanyasaji kwa wafanyabiashara
Nimenunua Umeme Wa luku Wa 20000/= nimekatwa sh 6000= kwa ajili ya kuchangia Umeme Wa rea vijini.
Alafu wanajisifia tumesambaza Umeme vijiji vyote,kumbe sisi ndo tunaokamuliwa wankijiji wapate Umeme.
Ni wizi mtupu.
 
Matrix19

JF-Expert Member
Feb 24, 2020
867
1,000
Unasema mabeberu wanawaingilia ila mbona mpewapo misaada mwapokea? Ulishajiuliza masharti ya misaada hiyo?
 
Aurora

JF-Expert Member
May 25, 2014
7,310
2,000
Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi Tundu Lissu angefikaje Belgium? angejuanaje na Amsterdam? huona kuwa wewe ndiyo chanzo cha kila kitu? na pia ni kwa nini umeubaka kuulawiti kuunajisi uchaguzi mkuu?

Tume huru ya uchaguzi ni muhimu kwa sasa kuliko hata chakula kwani ushetani wa NEC, Tume, wakurugenzi, na Polisi umepora haki za wapiga kwa kuisimika CCM ikulu kienyeji pasipo idhini baraka za wapiga kura.
umetisha, safi
 
wailer hov

Senior Member
Aug 30, 2018
130
250
Nimenunua Umeme Wa luku Wa 20000/= nimekatwa sh 6000= kwa ajili ya kuchangia Umeme Wa rea vijini.
Alafu wanajisifia tumesambaza Umeme vijiji vyote,kumbe sisi ndo tunaokamuliwa wankijiji wapate Umeme.
Ni wizi mtupu.
Ulitaka nani awachangie umeme vijijini?hao Mabeberu?Serikali?Serikali inayohitahi uchumi huru inategemea wananchi wake,hizo nchi nyingine unazoziamini ndio pepo wananchi wanakamuliwa zaidi ya sisi..
 
mwanakwetuu

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
259
500
Mercenary tangu lini akapigania maslahi ya nchi badala ya maslahi ya mteja wake?
Jiwe anapigania maslahi ya nani? Acheni kuwafanya watu wajinga kama na ww unapata maslahi kupitia jiwe ni ww ila sie wananchi wa kawaida tunaona jiwe anajinufaisha yeye na familia yake kw kujivika uzalendo fake
 
Pulchra Animo

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
1,437
2,000
Ungekuwa na mchango wa substance hungeaandika huo utumbo. You are missing a point here, there is a law of Cause and effect, fight the vice, you caused the problem and then you want to exploit it. Who are the mecenaries? Amsterdam is an international lawyer, nyie hapa hamna rule of law sasa hivi, therefore we have get the alternatives. Only those who are low IQ like you will understand you!!

Pathetic! Who told you national elections require an international lawyer? What kind of knowledge of international law do you have? I am curious!
 
magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
5,502
2,000
Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi Tundu Lissu angefikaje Belgium? angejuanaje na Amsterdam? huona kuwa wewe ndiyo chanzo cha kila kitu? na pia ni kwa nini umeubaka kuulawiti kuunajisi uchaguzi mkuu?

Tume huru ya uchaguzi ni muhimu kwa sasa kuliko hata chakula kwani ushetani wa NEC, Tume, wakurugenzi, na Polisi umepora haki za wapiga kwa kuisimika CCM ikulu kienyeji pasipo idhini baraka za wapiga kura.
Unajua ukiwa na akili ndogo hata kufikiri kunapungua. Labda ni kuulize hivi hiyo Tume Huru wajumbe wake watatoka mbinguni au? Nachoamini wajumbe watatoka hapa hapa TZ. Kama hujui mfumo wa uendeshaji wa nchi hasa TZ utasumbuka sana! Siku upinzani utakapokuwa na chama chenye mfumo wa kichama na wala si wa kisaccos hapo ndipo mfumo wa nchi utakapokiamini chama hicho lakini kwa sasa hakuna upinzani halisi TZ. Hivyo mfumo wa nchi umebaki na chaguo moja tu nalo ni CCM kwa kuwa CCM ina mfumo unaoeleweka hakuna mamlaka kutoka kwa mtu mmoja ndiyo maana unaona leo hii chama kiko na viongozi wengine kabisa na wananguvu kama viogozi wa chama.
 
iboyamwaka2020

JF-Expert Member
Jan 14, 2020
731
1,000
Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi Tundu Lissu angefikaje Belgium? angejuanaje na Amsterdam? huona kuwa wewe ndiyo chanzo cha kila kitu? na pia ni kwa nini umeubaka kuulawiti kuunajisi uchaguzi mkuu?

Tume huru ya uchaguzi ni muhimu kwa sasa kuliko hata chakula kwani ushetani wa NEC, Tume, wakurugenzi, na Polisi umepora haki za wapiga kwa kuisimika CCM ikulu kienyeji pasipo idhini baraka za wapiga kura.
kwani mkuu wewe unachojuwa lissu alishinda kwa kura? au unaropoka tu hujui uliongealo? lissu hajashinda hata mkihesabu upya na hakuna aliyewaibia kura zenu
 
Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
13,352
2,000
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani cha ajabu mtu akija na pesa cash nyingi Airport anaporwa na akipitishia Bank zikionekana BOT nao wanampora kisha kumtishia kesi za utakatishaji fedha.

Nchi inakosa pesa Akiba ya pesa za kigeni imeshuka mno, wafanyabiashara wakubwa wote sasa wanatumia mabenk ya Uganda, Kenya na Zambia ambao wapo busy kuinua uchumi hawana time kupora wafanyabiashara pesa zao kisha kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi ama kuwapa vitisho vya kesi kesi zingine, CCM inaporomosha uchumi kwa visheria vyake vya unyanyasaji kwa wafanyabiashara
Maendeleo sio mepesi kama kuamka asubuhi na kupiga mswaki.

Ni mchakato wa miaka na miaka. Unayoyaona Marekani ni kazi ya miaka 243, wamepita marais 45.

Kitu kingine muhimu kwako, jaribu kutembea Tanzania nzima uone mabadiliko kila kukicha badala ya kuzeekea nyumbani kwako ukiwa na laptop au simu yako ya kisasa.
 
Kilatha

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
3,288
2,000
He can.. cant.. or not even related to Lissu. You need evidence to prove
Well Lissu is not doing actual spying work for them kiasi kwamba utafute ushahidi wa yeye kutoa nyaraka za siri.

Rather the objective is to influence politics wanazotaka wao ndani ya Tanzania as means to further their interest kwa ivyo Amsterdam’s role is to provide motivation to Lissu on his quest, attempt to put pressure on the government na kama Lissu anahitaji hela katika harakati zake kutafuta mbinu za kumfikishia it might be through a third party.

It wouldn’t be a clandestine operation on their side if Amsterdam role is too obvious. But there is more to that man than being a mere lawyer concerned about his client.
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
11,909

Yes evidence has huge roll otherwise ..speculations will end to conspiracy theories.
I like your approach kuwa ni issue ya ifluence.. but i would like to think there is more than that.
Something is missing
 
Like I said if it was all in the open it wouldn’t be a clandestine operation, would it? Therefore answers to some question will forever remain vague.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom