Bob Amsterdam ni Mamluki; Watanzania tuweni macho sana

Usipende kutumia harufu za leftovers kufikiri. Na hai wanaong'ang'ania madarakani kwa mbinu na backup za China unawaataje
 
Wewe huwa huna michango yenye substance. Kujisumbua na wewe ni kupoteza muda tu!
Ungekuwa na mchango wa substance hungeaandika huo utumbo. You are missing a point here, there is a law of Cause and effect, fight the vice, you caused the problem and then you want to exploit it. Who are the mecenaries? Amsterdam is an international lawyer, nyie hapa hamna rule of law sasa hivi, therefore we have get the alternatives. Only those who are low IQ like you will understand you!!
 
Yaani ukiona viongozi wa upinzani wanaojinasibu wanataka kuchukua nchi halafu hawana backup ya wananchi ujue ni wahuni wachache wanaleta chokochoko
Ili kuwamaliza, wangeulizwa hivi safu yenu ya uongozi ingekuwaje kimfano? Mstaafu PM Mr FTS aliwaambia waachane na uanaharakati waanze mafunzo ya kuongoza nchi, wanajifanya hawana taimu naye. Ama kweli "simu" haijaribiwi wala "haiombwi"!!!
 
Serikali haitumii pesa zake ili kudidimiza demokrasia, bali kuijenga Tanzania huru na yenye maendeleo himilivu na ya kweli. Na hiyo ndiyo gharama ya kuwa na mataifa makubwa yanayojigamba kuwa wahisani wa Afrika, ilhali yakiwatumia mamluki na madalali ndani ya nchi husika ili kuendelea kuzitawala na kuwaibia rasilimali zao. Utakuwa kituko cha mwaka endapo utatumia juhudi kujitafutia mali kisha ukaziweka vyovyote vile bila uangalizi na uhifadhi maalum.
Hivi wewe masikini wa akili pamoja na umasikini wa mali nani anakuonea wivu?? Jiulize hivi, wewe umewahi muonea wivu kipofu?? Kipofu yule ambaye hana hata macho ya kuona au kichaa ambaye amerukwa na akili?? Sasa ndiyo hata haya mataifa yanayotaka kukusaidia ndiyo yanakuona wewe hivyo. Tanzania Terms of trade zero, budget iko subsidized na wao. CCM ndiyo mlivyo, vipofu na vichaa. Sasa hao wahisani wanataka kuwainua mnasema hoo sijui mecenaries or sijui nini. Ukweli hata wananch wao sasa hivi wanasema hao watu wa Afrika hawasaidiki. Yaani punguani. Asia imeendelea, Europe imeendelea Americas imeendelea, only Africa ndiyo bado. Sasa wakuonee wivu wa nini? Take this concept and construct your perspective, you are going to get your hypothesisi solved. No metaphors
 
Robert Amsterdam yupo pamoja na wananchi wa Tanzania.

Kama unaona anaharibu msosi wako ndio ukome!
 
Kitendo cha Amsterdam kujifanya ndiye mwamurishaji mkuu wa serikali ya Tanzania na mshinikizaji masuala ya nchi ni dharau na ukoloni wa hali ya juu uliowahi kutokea ama utakaotokea. Mtu yeyote anayekubaliana na hatua yake hiyo, kuna walakini mkubwa katika uzalendo wake. Simply put, THAT IS POLITICAL TERRORISM. Nothing more, nothing less.
 
expand...

Hivi serikali ya magufuli imeshawakamata waliompiga Lissu mabomu pale Dodoma mwaka 2017 au kazi pekee wanayoiweza ni kuwabambikia kesi wapinzani ?
Dereva yuko wapi? Msifiche evidence kama zile karatasi za Kawe mlizopiga kiberiti. Kuamini kirahisi ni ngumu sana hasa ukizingatia mfululizo matukio lukuki ya kubumba mfano ule wa kuteleza kwa Mr wa Hai pale ghorofani.
 
Tuseme Bob Amsterdam ni mamluki kweli. Granted.

On the flip side, serekali ya CCM chini ya JPM ni wakoloni weusi - wanajenga miundombinu lakini wanawabagua wasiokuwa wenzao. Wakoloni weupe nao walikuwa wakijenga miundombinu lakini huku wakiwabagua wasio weupe wenzao kama inavyofanya serekali ya JPM.

Kwa hiyo ni sahihi kabisa kwa Amsterdam kuwasaidia watu weusi walio katikati ya mapambano dhidi ya wakoloni weusi!
 
Ndani ya security services linapokuja swala la ‘infiltration’ kuna mtu anaitwa ‘handler’ jukumu lake ni ku establish contact na mtu anaeweza kuwasaidia katika agenda yao na kumtumia ikibidi kumuwezesha kifedha kuna wakati hata huyo mtu anaetumiwa asijue kama anatumika.

Tujiulize who established contact first Amsterdam au Lissu?

Kama ni Amsterdam ndio aliemtafuta Lissu to represent him as his lawyer. Therefore most likely acting as is lawyer is just a camouflage whereas his main mission is to actually handle Lissu in pursuit of their mission.

Na uhalisia ni kwamba kelele za Amsterdam hazina mashiko kwenye international law he is nobody. The logical conclusion he is Lissu handler.

Inasikitisha kuona wapuuzi kama hakina Maria Sarungi et al kutwa wana re tweet huyo mpuuzi mwenzao. Anyway kwa Tanzania wamebugi jamaa wamejipanga.
"He is Lissu handler" nimesoma post yako una logic nzuri.. but kuna kitu unakosa.
Evidence.
He can.. cant.. or not even related to Lissu. You need evidence to prove
 
Bila wewe kwenda Dodoma na Bashite kumpiga risasi Tundu Lissu angefikaje Belgium? angejuanaje na Amsterdam? huona kuwa wewe ndiyo chanzo cha kila kitu? na pia ni kwa nini umeubaka kuulawiti kuunajisi uchaguzi mkuu?

Tume huru ya uchaguzi ni muhimu kwa sasa kuliko hata chakula kwani ushetani wa NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm umepora haki za wapiga kwa kuisimika CCM ikulu kienyeji pasipo idhini baraka za wapiga kura.
Endelea kujifaragua na mambo ya Amsterdam siku ukimkuta kakujazia kwenye mbinuko wako ndo utajuta kumjua.
Kwa karne ya sasa mtu kuwa kibaraka wa beberu ni aibu sana.
 
Nikiwambia Lissu ana akili Kama mchwa ,hamhamin subiri tunyooshwe ndo tutaelewa vizuri ,si tumeziba masikio
 
Amsterdam is an international lawyer, nyie hapa hamna rule of law sasa hivi, therefore we have [to] get the alternatives.
A very surprising statement! Nadhani sasa unaelewa kwa nini wananchi wamekataa kuwachagueni, wamekataa kuunga mkono maandamano, na pia kwa nini hayo maandamano yametangazwa kuwa haramu, yenye lengo la kuzua machafuko, vurugu na mauaji.
 
CCM wanatumia pesa nyingi kwa mambo yasiyo na tija kwa Taifa, pesa inayotumika kudidimiza demokrasia kuwahujumu kuwadhoofisha chadema ni pesa nyingi mno ni pesa ambazo zingeweza kujenga viwanda kila kata Nchi nzima, Hosptal za rufaa kubwa kila mkoa na kuajiri madaktari Bingwa tokea India, Cuba na sehemu zingine Duniani, kujenga vyuo vikuu kila wilaya, kujenga daraja toka Dsm mpaka Zanzibar na pemba na mengineyo muhimu, vitu kama hivyo vingeweza kuwapa kura CCM kiwepesi kuliko kwenda kupora kuiba uchakachuaji kama walivyofanya sasa wamempora Nchi kwa njia haramu za kishetani, hawataki kuleta maendeleo na hata kukiwa na vimaendeleo kidogo navyo hujaa ufisadi mwingi kama uliopo sasa kwenye SGR flyover bwawa la umeme na miradi yote mikubwa
Mbon hizo pesa nyingi hazitajwi'?
Na audit umefanya lini kujua hizo pesa?
 
Hivi wewe masikini wa akili pamoja na umasikini wa mali nani anakuonea wivu?? Jiulize hivi, wewe umewahi muonea wivu kipofu?? Kipofu yule ambaye hana hata macho ya kuona au kichaa ambaye amerukwa na akili?? Sasa ndiyo hata haya mataifa yanayotaka kukusaidia ndiyo yanakuona wewe hivyo. Tanzania Terms of trade zero, budget iko subsidized na wao. CCM ndiyo mlivyo, vipofu na vichaa. Sasa hao wahisani wanataka kuwainua mnasema hoo sijui mecenaries or sijui nini. Ukweli hata wananch wao sasa hivi wanasema hao watu wa Afrika hawasaidiki. Yaani punguani. Asia imeendelea, Europe imeendelea Americas imeendelea, only Africa ndiyo bado. Sasa wakuonee wivu wa nini? Take this concept and construct your perspective, you are going to get your hypothesisi solved. No metaphors
Sina mashaka na uwezo wako wa akili ila uwezo wako wa kufikiri. FYI: Afrika ndiyo imejenga na inaendelea kujenga Ulaya na Marekani kisiasa, kiuchumi, kitaaluma na kijamii. Hakuna wahisani kutoka huko, hao ni majambazi na wanyang'aji wakubwa. Chondechonde, usikubali hata siku moja kuwa an educated fool & mtu uliyeghibiliwa ubongo.
 
Ni sawa mamluki kama walivyo mamluki waliopelekwa na CCM Zanzibar haswa Pemba ,tofauti huyu anapitia kwenye sheria na hao majeshi ya rwanda sijui burundi yanafanya mauaji na inasemwa kwa siku jeshi mmoja tu analipwa zaidi ya milioni 1,200,000/ Analipwa kwa siku, hela ya kitanzania warundi 300 wamekodiwa na walioondolewa madarakani na kujichomeka kiaina.
polisi au jeshi wa Tanzania analipwa kiasi gani kwa siku ? Majeshi na polisi kama hio habari ni ya kweli basi mjue hamna maana hata chembe mnatumika kuwauwa na kuwadhibiti ndugu na jamaa zenu. Lifanyieni uchunguzi hili la majeshi wa kukodiwa kutoka rwanda kwa hela chafu wanayolipwa kwa siku.
 
Tuseme Bob Amsterdam ni mamluki kweli. Granted.

On the flip side, serekali ya CCM chini ya JPM ni wakoloni weusi - wanajenga miundombinu lakini wanawabagua wasiokuwa wenzao. Wakoloni weupe nao walikuwa wakijenga miundombinu lakini huku wakiwabagua wasio weupe wenzao kama inavyofanya serekali ya JPM.

Kwa hiyo ni sahihi kabisa kwa Amsterdam kuwasaidia watu weusi walio katikati ya mapambano dhidi ya wakoloni weusi!
Unadiriki kufananisha utawala makini, fanisi wa JPM na kipindi cha ukoloni? "Mtu asiposafiri, basi anaweza kudhani mamaye ndiye mpishi bora kuliko wote ulimwenguni!"---African Proverb.
 
Back
Top Bottom