Board ya mikopo unachakachua wafanyakazi kwa kiasi kikubwa -10% of gross salary monthly? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Board ya mikopo unachakachua wafanyakazi kwa kiasi kikubwa -10% of gross salary monthly?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luckman, Jun 9, 2011.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,182
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Inasikitisha kuona chombo kikubwa na cha serikali kama board ya mikopo inakuwa mstari wa mbele kuchakachua wafanyakazi bila kuzingatia makubaliano yaliyosainiwa.
  ni jambo la busara kufanya malipo kama kweli ulipewa mkopo amabalo nadhani kila mtu amejiandaa kwa hilo na makubalianao yalikuwa ni kwamba mkopo utalipwa ndani ya miaka 10, cha ajabu sisi tumepokea barua toka board ya mikopo ikitaka compuni ikate wale wote wanaodaiwa kwa kiasi cha 10% ya gross salary, HUU NI UHUNI NA UNYAMA AMBAO UNATAKIWA KURIPOTIWA KWANI HATA VIDHIBITI TUTAVITOA JUU YA HAYA MAMBO YA KITAPELI, Kisheria hata kama kuna amendment zimefanywa anayeathirika sio yule alikwisha saini bali yule amabaye amekutwa kwenye mchakato. iweje maisha yetu badala ya kulegezwa yanabanwa kila sehemu???najivunia nini na nchi yangu?na hii ni dalili ya nini???TUFIKE HATUA TUHESHIMU MAKUBALIANO YALIYOSAINIWA KISHERIA.


  WADAU HII IMEKAAJE??
   
 2. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 824
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 80
  10% ya gross salary? Hawa vp. Ndo shida ya wabongo. Hao bod wenyewe wanajizingua coz kuna watu wengi sana hawawakati mikopo eti hawajui walipo so wanaowapata ndo wanawakomoa kiivyo.
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,517
  Likes Received: 2,607
  Trophy Points: 280
  Hyo ndo serikali yenu ya ki-shikaji mliyoichagua kwa ushindi wa kishindo,hata haiwajali walalahoi
   
 4. l

  luckman JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,182
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  this issue is very serious, its more than inhumanity, terms and conditions of repayment are already tabled, where all of these shits came from?? no way, we should arrange the way forward on this matter!haiwezekani kabisa, kama njaa zao ndo zinawafanya wavunje makubaliano hatukubaliani nayo, we have to take it to next level
   
 5. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,846
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Majoritily, w're sleeping but we must workup & Protest Action should prevail; In-fact 10% plus PAYE and other deductions on monthly salary is too much, we graduates with TGS D & E scales at the end of each month w'll be heading home handless.
   
Loading...