Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,022
- 189
Jiroemon Kimura wa Japan
amefariki akiwa na umri wa miaka
116. Ameweka rekodi ya binadamu
mwenye umri mkubwa kuliko wote
mpaka alipofikia mwisho wa maisha
yake.
Alipoulizwa nini siri ya mafanikio
yake raia huyo wa Japan alisema ni
kula chakula kidogo au kwa kiasi .
Kwa mujibu wa kitabu cha Guinness
ni mtu wa kwanza kufariki akiwa na
umri wa miaka 116.
Sasa binadamu mwenye umri
mkubwa kukliko wote ni raia
mwingine wa Japan Misao Okawa,
wa Osaka. Wajapan wako juu.
Chanzo: bbcnews
amefariki akiwa na umri wa miaka
116. Ameweka rekodi ya binadamu
mwenye umri mkubwa kuliko wote
mpaka alipofikia mwisho wa maisha
yake.
Alipoulizwa nini siri ya mafanikio
yake raia huyo wa Japan alisema ni
kula chakula kidogo au kwa kiasi .
Kwa mujibu wa kitabu cha Guinness
ni mtu wa kwanza kufariki akiwa na
umri wa miaka 116.
Sasa binadamu mwenye umri
mkubwa kukliko wote ni raia
mwingine wa Japan Misao Okawa,
wa Osaka. Wajapan wako juu.
Chanzo: bbcnews