Bnadamu mzee dunan afark duna

Philip Dominick

JF-Expert Member
May 26, 2013
1,022
189
Jiroemon Kimura wa Japan
amefariki akiwa na umri wa miaka
116. Ameweka rekodi ya binadamu
mwenye umri mkubwa kuliko wote
mpaka alipofikia mwisho wa maisha
yake.
Alipoulizwa nini siri ya mafanikio
yake raia huyo wa Japan alisema ni
kula chakula kidogo au kwa kiasi .
Kwa mujibu wa kitabu cha Guinness
ni mtu wa kwanza kufariki akiwa na
umri wa miaka 116.
Sasa binadamu mwenye umri
mkubwa kukliko wote ni raia
mwingine wa Japan Misao Okawa,
wa Osaka. Wajapan wako juu.
Chanzo: bbcnews
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1371054185585.jpg
    uploadfromtaptalk1371054185585.jpg
    28.8 KB · Views: 1,006
Miaka 116 ndiyo mzee?, hiko ni kibint tu kwa bibi yangu ambaye alikufa akiwa na umr wa miaka 145, hao Guiness ni wabaguz tu kwanini rekodi zote zivunjwe na watu weupe!
 
huyu ni mwanaumea.halafu bibi yako hujamtangaza
 
Bibi yangu mzaa mama ana miaka 120 na bado yupo mzima naongea naye kwenye simu. Ni miezi michache tu ameanza kushindwa kwenda ibada peke yake. Anafahamu wajukuu wote kwa majina, vitukuu na vilembwe. Ni mcheshi hana malalamiko. That is moyo wake ni mweupe hana mawazo potofu. Nina amini bibi yangu huyu ameishi miaka mingi kwa kuwa ni mwepesi sana kusamehe na kufurahia maisha. Analelewa na mtoto wake wa mwisho wa kiume (naye ni over 60 years) na hana tabu hata kidogo kwa mkwe wake. My bibi tumempa jina "British". Tukimaanisha si msumbufu. Hao Guness waje Africa watangaze nasi tupeleke wazee wetu.
 
bibi miaka 120 awe na mtoto miaka 60 wa mwisho duh?
 
Nilijua mtauliza swali. Nilisema over 60 means kuanzia 61 to infinite!!!!! Si lazima kutaja umri wake hapa. Miaka 60 ni kipimo cha uzee Tanzania na dunia (official age). Nilitaka kuonyesha tu kuwa bibi ni mzee. Basi kwa kuweka figure uncle wangu ni miaka 79. Bibi alizaa almost na uzeeni maana watoto wake wa kwanza 4 walikufa mfululizo ndipo Mungu akamjalia wengine 6 ambao sasa wamebaki watatu (3). Na babu alikufa 1999 akiwa mzee kabisa pia.
 
umeongea kwa ukali mpaka nimekuogopa,,sawa mkuu ila umri wa bibi yako na uhakika ni makisio tu,kwan hafahamu umri wake wa ukweli
 
Ukali uko wapi hapo mku Philip Dominck? Hakika umri wake unasemekana ni mkubwa zaidi ya hapo. Watu waliweza kukisia umri wake kwa kuanzia miaka ile walikuta wanatumika kufanya kazi kwa machifu. Kwa hiyo she might be 5+-. Hakika amekula chumvi nyingi. Mama yangu nategema naye atakula nyingi sana.
 
İnshaalah kaka
 
wapo watu wanaishi miaka mingi sema hawatangazwi, ila walio katika ulimwengu wa kufikiwa kirahisi na kusikika kwenye vyombo vya habari ndio hao tunaowasikia.
 
Miaka 116 ndiyo mzee?, hiko ni kibint tu kwa bibi yangu ambaye alikufa akiwa na umr wa miaka 145, hao Guiness ni wabaguz tu kwanini rekodi zote zivunjwe na watu weupe!

Miaka 116 ni midogo kwa rekodi ya watu wa tanzania maana mimi baba mdogo alifariki mwaka jana huko singida akiwa na umri wa miaka 121 alikuwa na uwezo wa kumwona mtu umbali wa kilomita moja, kumtambua aliyepita umbali wa 30, alikuwa na uwezo wa kwenda porini kutafuta kuni za moto jioni karibu na mahala anaposubiria ugali wa mtama, au uwele. alikuwa ana uwezo wa kupalilia kwa jembe la mkono mtama wake na mahindi mita 20 x15 kwa siku, bahati mbaya alipata ajali akavunjika mguu ndio kilicho sababisha kifo.
 
Miaka 116 ndiyo mzee?, hiko ni kibint tu kwa bibi yangu ambaye alikufa akiwa na umr wa miaka 145, hao Guiness ni wabaguz tu kwanini rekodi zote zivunjwe na watu weupe!
Waafrika hatuna utaratibu wa kutunza rekodi, ila tuna mambo mengi sana ambayo tunaweza kuingiza kwenye kitabu cha Guinness
 
wapo watu wanaishi miaka mingi sema hawatangazwi, ila walio katika ulimwengu wa kufikiwa kirahisi na kusikika kwenye vyombo vya habari ndio hao tunaowasikia.

Namfahamu mmoja mwenye miaka 120.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Yule mwalimu aliyemfundisha nyerere aliyefariki juzi juzi si alizidi hyo 116? Data kama hz gines inabd wafanye utaft kwanza then wapublisaiz.
 
Kwa hao watanzania wenye miaka 120+, maana yake walizaliwa miaka ya 1800s. Sasa ikiwa tu wale waliozaliwa mwanzoni mwa 1900s hawajui exactly walizaliwa lini kutokana na kutojua hata Kalenda ni nini, je mnathibitisha vipi mpaka kusema mtu ana miaka 120. Hao wa 1900s ukiwauliza tarehe ya kuzaliwa, wapo wanaosema mimi nilizaliwa msimu wa nzige, mwingine anakwambia msimu ule wa radi nyingi, sasa hapo unajuaje umri kamili wa mtu?
Hata ukiangalia watanzania wengi waliozaliwa 1950 kwenda chini wengi wao hawana hata vyeti vya kuzaliwa.
 
Waafrika hatuna utaratibu wa kutunza rekodi, ila tuna mambo mengi sana ambayo tunaweza kuingiza kwenye kitabu cha Guinness

kitu ambcho sisi tunaona sisi ni kidogo wazungu wanatengenezea mazngra ya Ajira
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom