Bmw za kikwete hukimbia tu hata zikipata pancha

Mtoa mada ni mtanzania orijino, maana watanzania watakwambia wametembelea nchi kadhaa, wamepanda ndege, treni ziendazo kasi, watapiga na picha, watasifia kila kitu kizuri watakachokiona.... lakini hawana ari, nia, mshawasha wa kufanya mageuzi katika sehemu zao za kazi! Ni kusifia mambo ambayo hayana hata TIJA kwao... very shameful!

Hivi, gari la Rais likiwa na mambo hayo au hata zaidi ya hayo WHAT NEXT?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom