BMW waweka record ya dunia (Guinness World Records) kudrift gari masaa 7 non-stop!.

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,313
12,123
Kampuni ya magari ya BMW wameingia kwenye record za kitabu cha Guinness (Guinness World Records) baada ya kufanya onyesho la kuzungusha (drifting) gari yao aina ya BMW M8 kwa muda wa masaa 7 bila kupumzika!.
Hii imefanyika huku kujaza mafuta kukifanywa kwa gari jingine pia yani ile system inayotumika kwenye ndege kujaza mafuta angani basi imetumika Ardhini kwa gari kutosimamishwa (zote mbili zinakuwa zinadrift pamoja).
Unahisi unaweza ivunja hii record, kajaribu na wewe!.

 
Record ya tz ni kufanya uchaguzi kwa majimbo matatu kwa 5% ya gharama za uchaguzi mkuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom