BMW series 1



Mcheki car wizard huko YouTube anavochambua msiba wa BMW, kubadili oil seal tu inabidi afungue parts kibao kwenye engine room kiasi kwamba anawaonea huruma wateja wake maana bill ni kubwa. Part inauzwa 5 dollar ila labour ni 600 USD.
 
Ni kweli. Ila kwangu mimi iko chini sana. Mm ni mpenz wa magari yenye ground clearance kubwa. Yaan yapo juu.
Series 1 ni nzuri.. ila kwenye bamps kubwa sasa
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ kwenye humps kubwa, unatega kasikio kwa nje, huku moyo ukisikitika inavyo chuna chini
 
hahaha kuna moja ilipanda bamps za moshi. huho lio unaweza sema gari imedondosha engine.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ unasikia tu mtu anasema ayaaaa, huku kauma meno. Ila usema kweli mie napenda sana sedan ingawa changamoto yake ni hiyo. Sijawai vutiwa na gari tofauti sedan.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom