BMW ya Petrol Vs ya Diesel ipi ni nzuri zaidi, naomba ushauri

wokitoki

Member
Dec 29, 2014
53
9
Habari wadau naomba kujua BMW X 3 PETROL NA BMW X 3 DIESEL ipi ni nzuri na nini kibaya kati yao IPI NI NZURI NA NINI KIBAYA KATI YAO. Naomba msaada plsss
 
Gari ya Diesel yenye Turbo ni gari nzuri kuliko gari ya Petrol. Kwanza ina fuel consumption ndogo, ina acceleration nzuri tu (japo sio kama ya Petrol), ni nzuri kwa safari ndefu, ina muungurumo mzuri wa Turbo ila pia ina muungurumo mkubwa kuliko gari ya Petrol.
In short, ukinipa chaguo kati ya gari ya Diesel na Petrol, nitachagua gari ya Diesel. Pia Diesel engine hudumu zaidi kuliko ya Petrol.
 
Kwny consumption gari ya diesel iko poa

Kwa gari za zamani kidogo engine ya petrol ilikua inachanganya faster kuliko ya diesel lkn kwa gari za siku hizi ni kama difference ni ndogo/negligible.

Kwny maintainance diesel engine ni expensive kuliko ya petrol.
 
Yaani umeeleza kweli tu, gari ya diesel c mchezo dah
 
Kwny consumption gari ya diesel iko poa

Kwa gari za zamani kidogo engine ya petrol ilikua inachanganya faster kuliko ya diesel lkn kwa gari za siku hizi ni kama difference ni ndogo/negligible.

Kwny maintainance diesel engine ni expensive kuliko ya petrol.
Diesel inazingua sana tofauti na petroli japo utainjoy wese consumption!
 
Kwny consumption gari ya diesel iko poa

Kwa gari za zamani kidogo engine ya petrol ilikua inachanganya faster kuliko ya diesel lkn kwa gari za siku hizi ni kama difference ni ndogo/negligible.

Kwny maintainance diesel engine ni expensive kuliko ya petrol.
Tofauti ya maintananve inaweza kua kiasi gani? Mfano assume Petrol ni 1m, diesel je?
 
Habari wadau naomba kujua BMW X 3 PETROL NA BMW X 3 DIESEL IPI NI NZURI NA NINI KIBAYA KATI YAO. Naomba msaada plsss
Kama zote ni za mwaka mmoja, kila kitu ni sawa isipokuwa engine tu. Tofauti gari ya diesel kila service unatakiwa ubadili filters zote wakati ya petrol unaweza kubadili oil filter tu filters nyingine unabadili next service. Hiki ndio kinafanya gari ya diesel service yake iwe juu kuliko ya petrol lakini kwenye utumiaji wa mafuta diesel iko vizuri kwahio ngoma droo
 
Back
Top Bottom