But nikikumbuka ile post yake
aliyosema tell ur god to bring it on....huwa naogopa......
Jamani Bluray yuko wapi? , Xmass si iliisha bado anahesabiwa tu?
Omega,
Last time nilivyocheck naye aliniambia New Year resolution ni kumalizia kitabu chake mwaka huu kabla ya uchaguzi. Halafu alisema mwezi wa kwanza huu anafukuzia viwanja viwili, kimoja karibu na Mkuranga na kingine Mbezi Beach, kwa hiyo mambo ya mitandao bongo inawezekana not reachable.
Au kashapata Mwanahawa wa Kizaramo kabanwa kwa kanga moja.
Who knows? Atakuja hapa kusema mwenyewe, si unamjua addict yule.
you doubt god did his job?
Hapana mkuu, nilimaanisha kuhesabiwa wakati wa hija kule moshi - nilidhani na yeye ni mmoja wao!
Labda amekumbwa na majukumu kama mimi,Jamani Bluray yuko wapi? , Xmass si iliisha bado anahesabiwa tu?