bluestacks

Naomba msaada wa link ya kudownload bluestacks. Natumia window 8
Tafuta Phoenix OS hii ni OS ya Android inakaa kwenye PC kwa kujitegemea kbsa ani kwenye ku boot PC una select kati Windows au Phoenix OS, ina Android 5.1.0 lollipop na wakati wa ku install unaselect partition, unayotaka iwe installed..... NB: Download kulingana na bits za windows yako kama ni 32bit au 64bit, Ukikwama mahala nistue au download kwanza setup yake then rudi apa nikupe mwongozo wa ku install
 
japo wanashauri si nzuri sana kwa pc, utapata matokeo yake baada ya kuiweka. kompyuta inakuwa nzito na mwisho wa siku kwa maelezo ya wataalam) kompyuta inaweza ikafa. nilikuwa nayo hiyo program lakini niliitoa...!!!
 
Naomba msaada wa link ya kudownload bluestacks. Natumia window 8
Mkuu kama unaitafuta blue stacks kwa ajili ya Ku install WhatsApp..nashauri achana Nayo.

Tumia WhatsApp ya kawaida ya kwenye smart phone yako.kwenye menu ya WhatsApp (sehemu yenye vidoti vitatu).utaona mandishi yameandikwa WhatsApp web.hii fuction.. Inakuwezesha Ku amisha screen yako ya WhatsApp from phone to laptop screen.

Zingatia kufuata maelekezo...
 
Back
Top Bottom