sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,285
Watu weng wemakuwa wakisumbuliwa na tatizo hili bila kujua ni kiti gani hiki na ni jinsi gani ya kulitatuwa. Mtu yeyote anayetumia Microsoft Windows (iwe XP vista au seven) anaweza kukutana au pengine alishakutana na tatizo hili. Heri yao wale waliowahi kutana nalo na wakajua nini cha kufanya ila kwa wale ambao waliwahi kutana nalo na hawakujua nini wafanye au hata wale ambao hamjawahi kutana na tatizo hili (naamini ipo siku litakukumba) basi si vibaya tukapeana somo hili. Hili ni tatizo la kawaida kabisa ambalo hutokea mara nyingi pale Windows senses a software, hardware, or driver error preventing it from operating properly. Hivyo basi, almost anything from a minor glitch to a major system malfunction inaweza leta hii kitu. Mara chache sana tatizo hili linaweza kuondoka kwa kufanya simple normal restart tu ya pc yako na ukaona mambo yakawa shwaaari na Blue screen isirudi tena ILA kaa ukijua ii ni dalili mbaya ya tatizo moja kubwa baya sana linalokujia. Sasa ukitaka kujua TIBA hasa ya tatizo hili ni nini hakuna ajuaye sababu inahitai mtu afanye diagnosis ya kina kujua nini hasa tatizo la pc yako.
BLUE SCREEN OF DEATH (BSOD) ni nini?
Sasa basi kabla ya kujua ni jinsi gani ya kutibu embu tujue ni nini hasa hii BLUE SCREEN OF DEATH...Simple. blue screen ni error message ambayo hutokea pale tu system inapotambua tatizo lolote lile litakalosababisha kuifanya system ishindwe kuendelea na kazi zake kama kawaida kwa namna yoyote ile. Hapo ndipo system inaposimamisha shughuliii zooooote kwa pamoja na kukupa ujumbe huo kuwa system imejizima ili kuokoa pc yako isiharibike kutokana na tatizo lililotokea na ujumbe huu huwa unakuja ukiwa kwenye screen ya rangi ya BLUE (ndo maana ya BLUE SCREEN) ingawa maandishi yenyewe huwa meupe..na mara nyingi Windows Xp huwa inaleta na numbered error code ambayo inaelezea tatizo hasa nini ambayo ukiitafuta maana ya code hiyo (online) unaweza jua tatizo ni nini! Kwa windows zingine sijachunguza kwa kina kama mara zote huleta numbered code kama kwenye XP...ila ni vyema ku note down hiyo error pale linapotokea tatizo hili ili ufanye uchunguzi zaidi (ingawa ni vyema ku note kila error unayoipata pale linapotokea tatizo ili upate ufumbuzi wa kina maana mtu mwingine anaona message ya error imetokea hasomi afu anaclik tu YES au NO then kuanzia hapo matatizo tu kwenye pc na ukimuuliza alifanya nini utaskia ah ah skufanya kitu!! Pumbafu!)
JINSI YA KUTIBU BLUE SCREEN
Sasa kama wewe ni mmoja wa wale wanaobahatika kutibu tatizo la Blue Screen kwa ku reboot tu basi pia itakubidi ukae chini na ufanye ucunguzi wa kina ili ujue tatizo hasa ni lipi la sivyo utakuja lia siku moja! Kutokana na uwezekano wa sababu nyiiingi wa tatizo hili inakuwa vigumu sana mtu kwa mara moja tu kusema tatizo la pc yako itakuwa ni hili baada ya blue screen.Ila unaweza tumia njia zifuatazo kukusaidia kutibu:
Nakaribisha maoni, ushauri au ujuzi zaidi...

- Embu jaribu ku hisi labda tatizo litakuwa ni nini? Si unaijua pc yako vizuri? sasa ambu narrow down all possible causes za tatizo...mfano umeweka software mpya tu au hardware mpya tu ikaleta blue screen au unadhani baada ya kufanya nini ndo kumesababisha!!? Hii itakusaidia kwenye kuokoa kutumia mda mwiiingi kuanza kutafuta tatizo nini na kutibu yasiyohusika!
- Kama tatizo hujui basi washa pc yako kwa safe mode (naamini unajua safe mode ni nini wajameni...kama sivyo bas google it...:confused2: ) na kama tatizo litakuwa linaendelea kujitokeza hata ukiwa ndani ya safe mode basi kwa kiasi kikubwa tatilo hili linasababishwa na hardware either mojawapo imekufa au kama kuna hardware mpya umeongeza kwenye pc yako. kama hi hivi just take it out na kama hujui ni nini kimekufa basi nakushauri ni vyema uipeleke kwa wataalamu zaidi wakusaidie ila kama unauhakika kuna kifaa kipya umefunga mda mfupi au siku chache zilizopita basi kitoe kwanza then ujaribu kutumia bila kifaa hiko...na ikiwezekana badilisha au angalia compatibility issues hapo!
- ikiwa umepita hapo na unauhakika hamna hardware iliyokufa wala hujafunga kitu chochote kipya (hivyo unauhakika kuwa hardware sio ishu) basi ukiwa katika safe mode kule kule scan computer yako for virus or spyware kwa antivirus iliyoapdated..fanya full scan( sku hizi kuna hadi antivirus unaweza ku install kwenye flash uka update then ukatumia kwenye pc nyingine) ila hakikisha una uhakika na hiyo antivirus..baada ya hapo kama utapata kitu safisha then iwashe pc yako kama kawaida(sasa angalia inawezekana hao virus wakawa waliharibu baadhi ya systems file na kusababisha pc yako isiwake kabis baada tu ya ku scan..hao inabidi ufanye windows repair).
- Kama scanning hukupata kitu na tatizo bado lipo basi sasa ukiwa kwenye safe mode fungua system restore utility (jinsi ya kuipata inatofautiana kulingana na windows gani unatumia ila pia waweza search google how to get system restore in windows (.....) ukaweka window yako na utaipata ila mara nyingi kwa xp huwa kwenye start>all programms>accessories>system tools utaona system restore hapo chagua tarehe ya nyuma ambayo walau una uhakika pc yako ilikuwa ipo poa).
- Sasa vipi kama hamna date yoyote zaidi ya tarehe hiyo hiyo ambayo inatatizo? au kama haija solve tatizo? Basi zima pc yako kisha unapoiwasha press F8 mara nyingi mpaka itakapoleta ile windows ya kuchagua safe mode ila usichague safe mode, chagua Run your system from the last known ‘good configuration'.... on the other hand, if you know a recent software installation is the cause, then restore to the point created at that date.
- Kama haya yoote hayaja solve tatizo lako basi sasa itabidi uingie ndani zaidi kutafuta suluhisho na hii itahusiana na kujua kwa ukamilifu code numberau hata sehemu u ya error code unayoonyeshwa pindi inapotokea blue screen, copy hiyo error then tafuta online habari zaidi kuhusiana na hiyo error. Kumbuka unaweza ukawa unasumbuka na tatizo kumbe kuna maelfu ya watu walishapitia tatizo hilo na walishalipatia ufumbuzi..hivyo na wewe unaweza pata majibu. Kumbuka blue screen sio tatizo kama matatizo mengine ambayo ukieleza tu utaambiwa aah hiyo..fanya hivi au toa hiki...NO! it differ from one pc to another wakuu..
- The bottom line with this error is that you will need to be patient as it may require a lot of trial and error.
Nakaribisha maoni, ushauri au ujuzi zaidi...