emmanuel mruma
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,778
- 1,718
hamna hao ni mabeberu wa piga dili tu!! mh mtukufu kawashika pabaya wanahangaika. .....hela za ndani tu nazo wasitubabaishe. .....in musiba voice
These days hata zile mbwembwe za TRA kutangaza makusanyo kila mwezi hakuna tena.
Mabeberu wasitubabaishe. Hata wakituondoa hakuna shida. Jeshi litasimamia uchumi na mambo yataenda poa. JPM shikilia hapo hapo. Tuko pamoja. Uchumi wetu unakua 7% eti wao wanasema 4%! Njama za mabeberu hizo. Usikubali ripoti ya IMF ichapishwe!Mshamba na limbukeni kapewa hela, ukitaka kumjua mtu mshamba mpe hela nyingi ndiyo utamuona
Mkate ilikuwa sababu kianzio Lkn alikuwa washamchoka.Ukisomesha sana watu no ili upate Furaha mwisho lzm uisome mwenyeweMku haya huwa hayaji pasipo sababu Sudani ilikuwa ni Mkate yaani Mkate umemuondoa Rais mwenye Jeshi kubwa tuu madarakani.
Tumwombe Mwenyenzi Mungu tu anusuru sio binadam kwani kwa wale wanaojua Mihemko hawawezi kulibicha hili la kumwomba Mungu atunusuru.
Bloomberg hawa wa fake news?
Nashauri chadema wakafungue mashtaka mahakama ya afrika mashariki waishitaki serikali tena.
Huku JF wamejaa walioumiza na maamuzi ya Serikali ya JPM unategemea nini? Ndiyo waliokuwa wanafaidika na ufisadi, Vyeti Fake, unategemea watoe comments zipi??
Msukuma kupewa nchi ni laana kubwaa
Mshamba na limbukeni kapewa hela, ukitaka kumjua mtu mshamba mpe hela nyingi ndiyo utamuona
Then wanategemea mwenkezaji aje alete pesa zake?
Thubutu.
Hapa watakuja baada ya Magufuli kuondoka.
Either tukinukishe manake mambo yatabana mpaka basi
La sivyo we have 6 damn years of suffering kujipendekeza kama Congo ya mobutu style.
Ukinikushe sababu imf wanasema au wananchi wanateseka. Mbona mm naona stadiums zinajaa, bia zinauzika kama kawa, elimu ndio bure, bei zipo palepale, misosi ya kutosha, watu wanalipwa mishahara yao, infrastructures zinajengwa, hizi kelele ni za nini?Then wanategemea mwenkezaji aje alete pesa zake?
Thubutu.
Hapa watakuja baada ya Magufuli kuondoka.
Either tukinukishe manake mambo yatabana mpaka basi
La sivyo we have 6 damn years of suffering kujipendekeza kama Congo ya mobutu style.
Yule Mzee wa Soko la Samaki akibanwa kidogo na Ma Beberu taarifa hiyo itatoka,he is very coward when it comes issues na Ma Beberu
Na hawa nao ni wa fake news?
“The unreleased report, seen by the Financial Times, warned of “unpredictable and interventionist policies that worsen the investment climate and could lead to meagre [or even negative] growth” in east Africa’s second-largest economy.
Mkuu wewe umekulia marekani sisi tumekulia bongo, tunaongea kiswahili kama tunakunywa biaSio hela ni hera mkuu 😄
Ndio ni lazima vinginevyo pesa yako haitotambulika katika currency vya kimataifa.Niulize swali.....is it mandatory to a country to be member of IMF ?
Weeee niombe msamahaWe utakuwa mmojawao...