Bloomberg: Tanzania hatarini kuondoka IMF kwa kuvunja sheria ya shirika hilo kwa kukataa kutoa/kuchapisha taarifa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
IMG-20190420-WA0000.jpg
IMG-20190420-WA0001.jpg
IMG-20190420-WA0002.jpg
IMG-20190420-WA0003.jpg
 
Watuondoe tu maana Jiwe kazidi!

Kwa taarifa hizi,wawekezaji wenye akili hawawezi kuja kuwekeza kwenye Taifa la aina hii!

Watuondoe tu ili hali ikiwa ngumu kupitiliza,pengine tutafanya walichokifanya watu "wasudani" hivi karibuni.

Soma na hii:

“The unreleased report, seen by the Financial Times, warned of “unpredictable and interventionist policies that worsen the investment climate and could lead to meagre [or even negative] growth” in east Africa’s second-largest economy.
 
Then wanategemea mwenkezaji aje alete pesa zake?
Thubutu.

Hapa watakuja baada ya Magufuli kuondoka.

Either tukinukishe manake mambo yatabana mpaka basi

La sivyo we have 6 damn years of suffering kujipendekeza kama Congo ya mobutu style.
WABONGO WANATAKA WENGINE WAFANYE KWA AJILI YAO..WAKINUKISHE WENGINE WAO WAMELALA NDANI NA WAKE ZAO...
 
Back
Top Bottom