Bloody Sunday happened 50 yrs ago, CCM na serikali yake wanaendeleza leo

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
4,803
1,416
It was one phone call from the Governor that iliyosababisha damu za watu kuamwagika. Leo hii wamarekani wanashuhudia Rais wa nchi hiyo kutoka miongoni mwa weusi.

Nakumbuka mauaji ya Arusha, Mwangosi - Iringa, Morogoro na Juzi mbagala, Pro Lipumba walivyoshambuliwa na Policcm. "You know I love you back" Changes are coming, ccm jiandaeni kuwa history
 
Kesho nitarudi kwenye huu uzi

ImageUploadedByJamiiForums1425775929.256138.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom