Bloody scenes from Yemen

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
_55459255_976x549_pic_gallery_slide-1.jpg



r-YEMEN-VIOLENCE-50-DEAD-huge.jpg



Yemeni security forces have opened fire on anti-govt protestors in the capital city of Sanaa, leaving at least 20 people dead and many more injured, medics and witnesses say
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Raia wana uwawa kwa kudai haki,wa saudia wanasaidia mauwaji.
Je UN walioni hilo au kwa sababu Saud Arabia ni marafiki wa USA?
UN walisema Gadafi anuwa raia wake walipo andamana
 
Ni zamu ya China, Iran, na Russia kutatua huko!!! Haa haa haaa! Maana UN wakijihusisha huko Marekani itahusika, na kila Marekani ikitia pua kunakuwa na kelele mtindo mmoja...
 
mkuu wacha yemen..Syria is worse na hakuna cha maana wazungu wanafanya kupitia the so called UN!

ni kwa double standards kama hizi watu tunaiona UN kuwa ni mkono na mdomo wa wazungu wanapotaka kupitisha mambo yao kwa kivuli cha international community.
 
Back
Top Bottom